Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Itia mtu mwingine gari

Unapotaka kuwasafirisha ndugu na marafiki walio nyumbani au kuwachukua, unaweza kuwaitia gari kupitia App yako, ikiwa ni watu wazima.

search
Navigate right up
search
search
Navigate right up
search

Mapendekezo

Umuhimu wake

Furahia huduma rahisi

Sasa huna haja ya kupangua ratiba yako, kuchukua muda mrefu kwenye foleni wala kuacha shughuli zako ili kumchukua mpendwa wako. Okoa muda na usumbufu.

Okoa siku yako

Je, bibi yako hana simu mahiri? Je, mamako anahitaji kuchukuliwa kwenye uwanja wa ndege? Je, rafiki yako amelewa kupindukia? Mwombee gari litakalomfikisha anakoenda. Jambo hili hufurahiwa kila wakati.

Utaratibu wake

Fungua App yako

Gusa ili ufungue App, kisha uguse Ungependa kuenda wapi?

Chagua msafiri

Katika sehemu ya juu ya anwani, utaona chaguo la kusogeza chini ambapo unaweza kuchagua.

Keti na utulie

Mtu unayemwitishia usafiri atapokea SMS yenye maelezo muhimu ya safari kama vile muda atakaowasili, aina ya gari na maelezo ya anwani ya dereva, ili aweze kuwasiliana moja kwa moja na dereva patakapohitajika.

Faidika zaidi kutokana na safari yako

Angalia programu ya Uber kwa upatikanaji wa bidhaa, vipengele, ushirikiano na ofa katika eneo lako.

Kujitayarisha

Jifunze jinsi chaguo na vipengele vya usafiri hufanya kazi, ili kukusaidia kujiandaa kwa ajili ya safari yako.

Weka nafasi ya usafiri mapema

Omba safari kwa niaba ya mtu mwingine

Kujua nauli mapema

Baiskeli na skuta

Aina za safari za Uber

Waymo

Kurahisisha shughuli ya kuchukua msafiri

Tumia muda kidogo kusubiri na muda zaidi kuendesha gari ukitumia vipengele vilivyoundwa kwa ajili ya kuchukua msafiri kwa urahisi.

Badilisha maeneo ya kuchukuliwa

Maeneo Uliyohifadhi

Maelekezo ya kuchukuliwa

Maeneo ya Kuchukuliwa

1
open

Faidika zaidi kutokana na safari yako

Angalia programu ya Uber kwa upatikanaji wa bidhaa, vipengele, ushirikiano na ofa katika eneo lako.

1/6
1/3
1/2

Pakua App na uweke mipangilio ya akaunti yako ili uwe tayari wakati ujao utakapohitaji usafiri.

Waalike marafiki watumie Uber na watapata punguzo kwenye safari yao ya kwanza.

Kipengele hiki hakipatikani kwenye App ya Uber Lite. Aina za usafiri hubadilika kulingana na jiji na eneo lako.