Maelekezo ya kuchukuliwa
App inakusaidia kumweleza dereva wako kwa haraka na urahisi kuhusu jinsi ya kukupata au hali yako. Hamna haja ya kupiga simu.
Umuhimu wake
Wakati mwingine unataka kumpa dereva wako maelezo zaidi kabla ya kukuchukua. Sasa ni rahisi kutuma kigezo (“Nimevalia jaketi nyekundu”), au umtumie dereva ujumbe ulioandikwa mapema kwa haraka “Niko mbele yako” kwa urahisi, ndani ya App.
Tuliunda ujumbe wa kuchukuliwa ili kuhimiza uendeshaji gari salama. Madereva wanaweza kusoma ujumbe kwa sauti na wanaweza kugusa ili wajibu.
Utaratibu wake
Itisha usafiri
Gusa ili ufungue App na uitishe usafiri kama kawaida.
Gusa sehemu ya ‘Una maelekezo yoyote kuhusu mahali pa kuchukuliwa?’
Chagua ujumbe ulioandikwa mapema au uandike ujumbe wako.
Bonyeza Tuma
Wajulishe madereva wako mahali ulipo au taarifa nyingine muhimu.
Faidika zaidi kutokana na safari yako
Baada ya safari yako
Faidika zaidi kutokana na safari yako
Baada ya safari yako
Jisajili
Pakua App na uweke mipangilio ya akaunti yako ili uwe tayari wakati ujao utakapohitaji usafiri.
Onesha
Waalike marafiki watumie Uber na watapata punguzo kwenye safari yao ya kwanza.
Aina za usafiri hubadilika kulingana na jiji na eneo lako.
Kampuni