Ruka uende katika maudhui ya msingi

Uber is currently not available in your location, but you can download the app for your next trip abroad

X small
X small

Omba safari

Uber cities pickup

Tumia programu ya Uber ili ikusaidie kusafiri jinsi unavyopenda

Chaguo la safari

Kuna njia zaidi ya moja ya kusafiri ukitumia Uber, haijalishi mahali ulipo au unakokwenda baadaye.

Kushushwa kwenye uwanja wa ndege

Unaweza kuomba safari ya kwenda na kutoka kwenye viwanja vingi vikuu vya ndege. Ratibu safari ya kwenda kwenye uwanja wa ndege kwa urahisi.

Msafiri

Programu hii inapatikana katika maelfu ya miji kote ulimwenguni, kwa hivyo unaweza kuomba safari hata ukiwa mbali na nyumbani.

Unatafuta huduma za biashara?

Mwanamke kazini

Maswali yanayoulizwa sana

Je, ninaweza kufikishiwa bidhaa iliyopotea?

Programu ya Uber husaidia kutoa huduma ya kusafirisha bidhaa inayoweza kukuokoa usisafiri mjini, iwe ni kwa ajili ya zawadi ya dakika za mwisho ya siku ya kuzaliwa au funguo ulizosahau. Chagua tu Kifurushi katika programu ya Uber.

Ninaweza kukodi gari nikitumia Uber?

Ndiyo. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi kukodi gari kunavyofanya kazi.

Je, ninaweza kuomba safari inayowachukua marafiki katika maeneo tofauti?

Ndiyo. Andaa safari ya kikundi kwenye programu ya Uber, waalike marafiki zako na mfike mahali mnakoenda pamoja.

Je, ninaweza kuomba teksi kwenye Uber?

Uber hufanya iwe rahisi kupata teksi karibu nawe katika miji ambapo Teksi ya Uber inapatikana. Hakuna haja ya kutafuta stendi ya teksi, kusimamisha teksi barabarani au hata kupiga simu kwa kampuni ya teksi ya mahali husika. Badala yake, unaweza kutumia programu au tovuti ya Uber kuomba teksi kwa mibofyo michache tu.

Je, kuna chaguo la usafiri la Uber linalotoshea watu 5?

Omba UberXL ili upate van au SUV inayoweza kutoshea hadi watu 6 kwa bei nafuu. Inafaa kwa safari ya familia au safari ya kwenda kwenye uwanja wa ndege.