Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Sehemu za kuchukuliwa

Chaguo za maeneo ya kuchukuliwa zinazokufikisha kwa haraka

Uko kwenye mtaa wenye shughuli nyingi? Uko kwenye jengo lenye maeneo mengi ya kuingia? Popote ulipo, App inakuelekeza kwenye eneo la kuchukuliwa lililo salama zaidi na kufikiwa kwa haraka, ili uweze kuondoka kwa urahisi na haraka.

search
Weka mahali
Navigate right up
search
Weka mahali unakoenda

Umuhimu wake

Wasili haraka

Amini App ikupendekezee maeneo salama ya kuchukuliwa, haswa katika maeneo yenye shughuli nyingi ambapo inaweza kuwa vigumu kupata dereva wako.

Epuka maeneo yasiyoruhusiwa

Usalama kwanza. App huonyesha maeneo yaliyodhibitiwa au yasikoruhusiwa kuchukulia wasafiri, ili uweze kufanya uamuzi wa busara unapoweka eneo lako la kuchukuliwa.

Utaratibu wake

1. Fungua App yako

Bonyeza Ungependa kwenda wapi? kisha ujaze mahali unakoenda.

2. Chagua aina ya usafiri

Thibitisha safari yako kwa urahisi.

3. Epuka maeneo yasiyoruhusiwa

Usalama kwanza. App huonyesha maeneo yaliyodhibitiwa au yasikoruhusiwa kuchukulia wasafiri, ili uweze kufanya uamuzi wa busara unapoweka eneo lako la kuchukuliwa.

Maswali yanayoulizwa sana

  • Ndiyo. Sogeza kipini katika eneo ambako ungependa kuchukuliwa.

  • Baadhi ya sehemu zina maeneo ambako hakuruhusiwi kuchukua wasafiri. Kunaweza kuwa na hali ambapo App itazuia na kuangazia eneo ili kuashiria kuwa kipini kinafaa kuwekwa katika eneo tofauti.

  • Ndiyo. Badala ya kughairi ombi lako, badilisha tu eneo lako. Andika anwani mpya au uburute kipini chako cha mahali na ukiweke katika sehemu ya ramani, kisha uthibitishe. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kubadilisha eneo lako hapa.

Jisajili

Pakua App na uweke mipangilio ya akaunti yako ili uwe tayari wakati ujao utakapohitaji usafiri.

Onesha

Waalike marafiki zako watumie Uber na watapata punguzo la $15 kwenye safari yao ya kwanza.

Baadhi ya masharti na vipengele hutofautiana kulingana na nchi, eneo na jiji.