Onesha Safari Yangu
Endelea kuwasiliana unaposafiri. Waonyeshe ndugu na marafiki muda utakaowasili na mahali ulipo moja kwa moja kwa urahisi kwa kubofya mara chache tu.
Umuhimu wake
Wajulishe watu wanaokusubiri wakati utakaowasili ili waweze kutulia.
Utaratibu wake
Itisha usafiri
Bonyeza ili ufungue programu na uitishe usafiri kama kawaida. Baada ya kuitisha, telezesha kidole juu kwenye skrini ya programu na uguseTuma Hali.
Onesha hali ya safari yako
Chagua hadi watu 5 katika orodha ya anwani zako ambao ungependa kuwaonesha hali ya safari yako.
Safiri
Watu hao watapokea SMS iliyo na kiungo kilicho na maelezo ya safari yako. Ukikifungua, utaona jina la kwanza la dereva wako na maelezo ya gari. Pia utaona ramani ya mahali ulipo katika wakati halisi.
Faidika zaidi kutokana na safari yako
Baada ya safari yako
Jisajili
Pakua App na uweke mipangilio ya akaunti yako ili uwe tayari wakati ujao utakapohitaji usafiri.
Onesha
Waalike marafiki watumie Uber na watapata punguzo kwenye safari yao ya kwanza.
Kampuni