Ahadi yetu kuhusu usalama
Tungependa usafiri bila wasiwasi, utumie wakati vizuri na ukutanishwe na watu na maeneo muhimu kwako. Ndiyo maana tumejitolea kulinda usalama, kuanzia kuunda viwango vipya hadi kubuni teknolojia kwa lengo la kupunguza ajali.
Kufanya kazi pamoja ili kulinda jamii
Tuna timu ya usalama wa umma iliyojitolea ambayo inashirikiana kwa karibu na wasimamizi wa sheria ili kusaidia kwa uchunguzi na kulinda jamii. Inapatikana wakati wowote, hutoa taarifa kwa wakati na muhimu kupitia tovuti yetu salama ili kusaidia katika kesi zinazoendelea kila sekunde inapohesabiwa.
Jinsi usalama unavyodumishwa kwenye usafiri wako
Vipengele vya usalama kwenye app
Kuwaonesha ndugu na marafiki maelezo ya safari Kufuatilia safari yako barabarani. Teknolojia yetu inasaidia kuondoa wasiwasi kwa urahisi.
Jumuiya inayojali maslahi ya kila mtu
Mamilioni ya wasafiri na madereva wanafuata Mwongozo wa Jumuiya na hivyo wanawajibika kufanya mambo yanayofaa.
Usaidizi popote ulipo
Timu yetu ya wataalamu inapatikana kila wakati. Wasiliana nayo kupitia programu, usiku au mchana, ukiwa na maswali yoyote au matatizo ya kiusalama.
“Kila siku, teknolojia yetu husaidia mamilioni ya watu kupata usafiri katika miji ulimwenguni kote. Jukumu la kuhakikisha usalama wa watu ni muhimu sana na tunalichukulia kwa makini zaidi.”
Dara Khosrowshahi, Afisa Mkuu Mtendaji wa Uber
Tunashirikiana ili kuleta mabadiliko.
Ahadi yetu ya usalama inadumu hata baada ya safari yako. Tumeungana na kikundi cha wataalamu wakuu - ikiwemo maafisa wa usalama wa umma na mashirika ya kupambana na vurugu - ili kusaidia kuimarisha usalama kwenye barabara na miji kwa ajili ya kila mtu.
*Baadhi ya masharti na vipengee hutofautiana kulingana na eneo na huenda havipatikani.
Kuhusu
Kuhusu