Usafiri mwingine mbali na magari
Pata usafiri wa magurudumu mawili kwa urahisi
Je, unajua kuwa unaweza kuendesha baiskeli au skuta ukitumia App ya Uber? Tunakuwezesha usafiri iwe unataka kuepuka foleni barabarani wakati wa shughuli nyingi, kusafiri na marafiki au kwenda kwenye huduma ya mazoezi ya moyo.
Umuhimu wake
Furahia ubora wake
baiskeli inayojiongeza umeme hufanya uendeshaji wa baiskeli kuwa rahisi: kadri unavyoendesha, ndivyo inapata nishati zaidi.
Dandia kisha uende
Skuta za umeme unapozihitaji hukusaidia kwenda mbali zaidi na ufike unakoenda haraka bila wasiwasi.
Park easily
Return your e-bike or e-scooter wherever your ride takes you, on a bike rack or sidewalk away from pedestrian walkways.
Utaratibu wake
Fungua App yako
Bonyeza Safiri katika sehemu ya juu ya skrini yako.
Pata njia murua ya kukufikisha unakoenda
Chagua Baiskeli & Skuta , kisha ufuate ramani ili upate baiskeli au skuta iliyo karibu.
Vaa helmeti kisha uende
Unaweza kuweka nafasi ya baiskeli ya umeme au skuta au utembee hadi mahali ilipo na uskani uskani kuponi ili uifungue.
Faidika zaidi kutokana na safari yako
Baada ya safari yako
Pakua App na uweke mipangilio ya akaunti yako ili uwe tayari wakati ujao utakapohitaji usafiri.
Onesha
Waalike marafiki zako watumie Uber na watapata punguzo la $15 kwenye safari yao ya kwanza.
Baadhi ya masharti na vipengele hutofautiana kulingana na nchi, eneo na jiji.
Kuhusu
Chunguza
Viwanja vya Ndege