Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Endesha gari na ulipwe

Endesha gari ukitumia mfumo ulio na mtandao mkubwa zaidi wa wasafiri.

Gundua vyakula vitamu

Agiza chakula kutoka kwenye migahawa unayopenda.

Uber unayoijua, imeundwa upya kwa ajili ya biashara

Tovuti ya kusimamia safari za kimataifa na milo na usafirishaji wa bidhaa katika eneo husika kwa kampuni zenye ukubwa wowote.

Kuzingatia usalama, popote uendapo

Ahadi yetu kwa usalama wako

Kupitia kila kipengele cha usalama na kila kiwango katika Miongozo ya Jumuiya yetu, tumejizatiti kusaidia kudumisha mazingira salama kwa watumiaji wetu.

Tunatoa huduma za usafiri katika zaidi ya miji 10,000

Programu hii inapatikana katika maelfu ya miji kote ulimwenguni, kwa hivyo unaweza kuomba safari hata ukiwa mbali na nyumbani.

Kutuhusu

Fahamu jinsi tulivyoanza, kinachotupa motisha na jinsi tunavyobuni njia mpya za kusafirisha watu kote ulimwenguni.

Chumba cha Habari

Angalia matangazo kuhusu matoleo yetu mapya, mipango na ushirikiano.

Uraia wa kimataifa

Soma kuhusu ahadi yetu ya kuboresha miji tunayohudumia.