Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Maeneo Uliyohifadhi

Hakuna asiyependa njia ya mkato. Wasili mahali unakoenda zaidi kwa kupahifadhi kwenye App.

Umuhimu wake

Wasili haraka

Ukiwa na Maeneo Uliyohifadhi, utaweka mahali unakotaka kwenda kwa haraka. Pia, ni rahisi kuliko kuhifadhi anwani kwenye simu yako.

Ihifadhi mara moja pekee

Hatimaye; hakuna haja ya kukumbuka jina na anwani ya mahali. Ihifadhi mara moja ili iwe rahisi kila wakati unapotaka kwenda hapo.

Utaratibu wake

Fungua App yako

Gusa ili ufungue App, kisha uguse Ungependa kuenda wapi?

Tafuta maeneo unakosafiri sana

Gusa Maeneo Uliyohifadhi.

Wasili haraka

Weka anwani, na utakuwa tayari kusafiri.

Jisajili

Pakua App na uweke mipangilio ya akaunti yako ili uwe tayari wakati ujao utakapohitaji usafiri.

Onesha

Waalike marafiki watumie Uber na watapata punguzo kwenye safari yao ya kwanza.

Aina za usafiri hubadilika kulingana na jiji na eneo lako.