Wasifu za madereva
Watu wengi wanaotumia mfumo wa Uber kuendesha gari wanaifurahia sana huduma hii. Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu dereva wako kwenye wasifu wake, inayojumuisha maelezo ya uhalisia kama vile lugha anayozungumza, mambo anayopenda, na sababu za kuendesha gari.
Umuhimu wake
Wasifu wa dereva una maelezo ya kuvutia. Mbali na tathmini, beji za mafanikio na historia ya safari, unaweza kuangalia pongezi au ujumbe wa shukrani uliotolewa na wasafiri kama wewe. Utafurahia siku na safari yako mkijuana na dereva.
Utaratibu wake
Fungua App
Gusa ili ufungue App na uitishe usafiri kama kawaida.
Angalia wasifu wa dereva
Dereva akikubali safari yako, utaweza kutelezesha kidole chini hadi kwenye kadi inayofungua wasifu wa dereva.
Ongeza kwenye wasifu wa dereva
Kwa safari ulizozipa tathmini ya nyota 5, unaweza kutoa pongezi au ujumbe wa shukrani kwa dereva wako. Maoni haya huonyesha shukrani zako na huwasaidia wasafiri wenzako kupata maelezo kuhusu dereva wao.
Faidika zaidi kutokana na safari yako
Angalia programu ya Uber kwa upatikanaji wa bidhaa, vipengele, ushirikiano na ofa katika eneo lako.
Kujitayarisha
Jifunze jinsi chaguo na vipengele vya usafiri hufanya kazi, ili kukusaidia kujiandaa kwa ajili ya safari yako. Weka nafasi ya usafiri mapema
WaymoKurahisisha shughuli ya kuchukua msafiri
Tumia muda kidogo kusubiri na muda zaidi kuendesha gari ukitumia vipengele vilivyoundwa kwa ajili ya kuchukua msafiri kwa urahisi. Badilisha maeneo ya kuchukuliwa
Faidika zaidi kutokana na safari yako
Angalia programu ya Uber kwa upatikanaji wa bidhaa, vipengele, ushirikiano na ofa katika eneo lako.
Kujitayarisha
Jifunze jinsi chaguo na vipengele vya usafiri hufanya kazi, ili kukusaidia kujiandaa kwa ajili ya safari yako.
Kurahisisha shughuli ya kuchukua msafiri
Tumia muda kidogo kusubiri na muda zaidi kuendesha gari ukitumia vipengele vilivyoundwa kwa ajili ya kuchukua msafiri kwa urahisi.
Kusafiri pamoja
Shiriki maajabu ya Uber na watu ambao ni muhimu zaidi kwako.
Usalama na usaidizi
Safiri kwa utulivu wa akili, ukijua kuwa zana muhimu za usalama na usaidizi zinaweza kufikiwa kila wakati.
Ofa na zawadi
Fanya safari zako zikufae zaidi kwa kugundua ofa za sasa na manufaa ya washirika.
Baada ya safari yako
Dhibiti maelezo ya safari kwa urahisi au ushiriki maoni kuhusu matumizi yako baada ya kufika unakoenda.
Faidika zaidi kutokana na safari yako
Baada ya safari yako
Pakua App na uweke mipangilio ya akaunti yako ili uwe tayari wakati ujao utakapohitaji usafiri.
Aina za usafiri hubadilika kulingana na jiji na eneo lako.
Kuhusu
Chunguza
Viwanja vya Ndege