Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Vituo vya ziada

Unahitaji kusimama kwa muda mfupi? Iwe unafanya shughuli fulani au unamshusha rafiki, unaweza kuongeza hadi vituo 5 vya kusimama kwenye barabara unayopitia.

search
Weka mahali
Navigate right up
search
Weka mahali unakoenda

Umuhimu wake

Safiri salama

Hakuna haja ya kumwambia dereva wako mahali pa kuenda au namna ya kufika huko. Vituo vya ziada vitaongezwa kiotomatiki kwenye njia yako- hivyo kuifanya safari yako iwe rahisi na inayofurahisha.

Wachukue ukiendelea na safari

Kuna msafiri anayepaswa kuchukuliwa dakika ya mwisho? Sasa ni rahisi kusimama katika vituo vya ziada. Weka unapotuma ombi au wakati safari inaendelea.

Changia nauli

Changia nauli ipasavyo kwenye App ili wewe na marafiki zako mlipe kiasi sawa.

Utaratibu wake

Fungua App yako

Gusa ii ufungue App kwenye simu yako.

Chagua wakati unaotaka kufanya kazi

Bofya "Unaenda wapi?" kisha uguse + iliyo karibu na kisanduku cha mahali unakoenda na uweke vituo wakati wowote kabla au wakati wa safari yako.

Badilisha ukiwa safarini

Ongeza, badilisha au uondoe kituo cha kusimama kwenye maelezo ya safari.

Jisajili

Pakua App na uweke mipangilio ya akaunti yako ili uwe tayari wakati ujao utakapohitaji usafiri.

Onesha

Waalike marafiki watumie Uber na watapata punguzo kwenye safari yao ya kwanza.

Kipengele hiki hakipatikani kwenye App ya Uber Lite. Aina za usafiri hubadilika kulingana na jiji na eneo lako.