Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Safiri bila wasiwasi

Mfumo wa Uber ulibuniwa kwa kuzingatia usalama. Kupitia zana za kuzuia ajali, bima na teknolojia inayokuunganisha kila wakati, tumejitolea kukusaidia usafiri salama na ufanye mambo muhimu zaidi.

Kufanya usafiri uwe salama

Ukaguzi wa madereva

Ni lazima mtu yeyote afanyiwe uchunguzi wa uhalifu kabla ya kuendesha gari kwa kutumia Uber nchini Marekani. Madereva wa sasa hufanyiwa uchunguzi kila mwaka.

Vipengele vinavyokusaidia kuimarisha usalama wako

Katika kila safari, unaweza kubonyeza kitufe ili upate zana za usalama na kupata usaidizi unapouhitaji.

Jumuiya inayojali maslahi ya kila mtu

Kupitia juhudi zetu za pamoja na kushirikiana na miji na wataalamu wa usalama, tumesaidiana kufanya safari ziwe salama kwa kila mtu.

Tunaupa usalama wako kipaumbele

Programu ina vipengele vya usalama. Kwa hivyo utafika nyumbani salama baada ya burudani ya usiku Unaweza kuwaambia uwapendao mahali ulipo. Na utapata usaidizi iwapo dharura itatokea.*

Usaidizi kwa wateja wakati wowote

Kikosi chetu cha usaidizi kwa wateja kina mafunzo spesheli ya kukabiliana na dharura yoyote ya kiusalama .

Onesha Safari Yangu

Weka Anwani za watu unaowaamini na uweke vikumbusho vya kuwaonesha ndugu na marafiki hali ya safari.

Tathmini kutoka pande mbili

Maoni yako ni muhimu! Safari zenye ukadiriaji mdogo zimeombwa na wasafiri huenda wakaondolewa

Ufuatiliaji wa GPS

Safari zote za Uber hufuatiliwa kuanzia mwanzo mpaka mwisho kwa hiyo tuna kumbukumbu ya kila kitu iwapo lolote litatokea.

Kituo cha Usalama

Pata vipengele vya usalama pahali pamoja kwenye Programu unaposafiri na sisi.

RideCheck

Kwa kutumia sensa na data ya GPS, RideCheck inaweza kusaidia kutambua iwapo safari ina kituo cha kusimama kwa muda mrefu ambacho hakikutarajiwa. Ikiwa inayo, 'tutawasiliana na wewe kujua hali yako na kukupa zana za kukusaidia.¹

Thibitisha PIN Yako

Thibitisha safari yako kwa kutumia PIN. Jisajili kwenye kipengele hiki ili kikusaidie kuabiri gari sahihi linaloendeshwa na dereva sahihi.

Bima katika kila safari

Watoa huduma bora wa bima za magari kama vile Allstate, Farmers®, Liberty Mutual na Progressive husaidia kukulinda endapo utapata ajali inayolindwa kwa bima.

Hakikisha usahihi wa gari, kila wakati

Kabla hujaingia garini, chukua muda kidogo kuhakikisha habari kumhusu dereva katika App. Fuata hatua hizi 3 ili uhakikishe kwamba umeingia katika gari sahihi:

Hatua ya 1:

Linganisha namba ya leseni ya gari.

Hatua ya 2

Linganisha muundo na aina ya gari.

Hatua ya 3:

Angalia picha 'ya dereva.

Tunaimarisha jumuiya yetu

Mwongozo wetu wa jamii uliwekwa ili Uber iendelee kufurahisha na kushirikisha kila mtu. Yeyote asiyefuata mwongozo huu ataondolewa kwenye mfumo huu.

Kuhakikisha safari salama kwa ajili ya kila mtu

Ahadi yetu ya usalama inadumu hata baada ya safari yako. Tunashirikiana na mashirika maarufu ili kusaidia kufanya barabara zetu ziwe salama na miji yetu iwe imara

Kusikiliza Bodi ya Ushauri kuhusu Usalama

Uber huunda michakato na vipengele vipya kwa msaada wa wataalamu tajika katika nyanja za usalama na ulinzi, usalama wa kina mama na usalama barabarani.

Kushirikiana na maafisa wa usalama wa umma

Uber ina wapelelezi ambao ni maafisa wa zamani wa vikosi vya usalama wanaotoa msaada wa dharura kwa maafisa wa usalama wa umma katika visa halisi

Tunasaidia katika juhudi za kukabiliana na majanga

Tunafanya kazi na maafisa wa serikali na mashirika kama Msalaba Mwekundu ili kutoa msaada kwa watu mashinani.

Maelezo zaidi kuhusu usalama

Usalama wa dereva

Endesha gari mahali na wakati unapotaka bila wasiwasi.

Ahadi yetu kuhusu usalama

Unastahili kusafiri na kupata pesa zao kwa usalama.

*Baadhi ya masharti na vipengee hutofautiana kulingana na eneo na huenda havipatikani.