Badilisha maeneo ya kuchukuliwa
Ni rahisi kubadilisha mahali ulipo. Nenda mahali unakotaka kwa kubonyeza Badilisha ili uweke anwani mpya au uburute kipini cha mahali hadi mahali pengine kwenye ramani.

Umuhimu wake
Je, umedondosha kipini cha mahali pasipo sahihi? Je, umeweka anwani ya zamani? Makosa hutokea, ndiyo maana si lazima ughairi safari yako ili ubadilishe mahali ambapo ungependa kuchukuliwa. Badilisha tu anwani yako na uanze safari.
Utaratibu wake
Fungua App yako
Gusa ili ufungue App, kisha ubonyeze ‘Badilisha’ karibu na eneo utakakochukuliwa.
Badilisha eneo la kuchukuliwa
Andika eneo jipya ambapo ungependa kuchukuliwa au uburute kipini cha mahali na ukiweke katika sehemu yoyote ya ramani ndani ya mduara ya kijivu.
Thibitisha mahali ulipo
Gusa ‘Thibitisha’ ili ukamilishe kuita gari. Dereva atakuchukua katika eneo jipya ulilochagua.
Faidika zaidi kutokana na safari yako
Baada ya safari yako
Faidika zaidi kutokana na safari yako
Baada ya safari yako
Pakua App na uweke mipangilio ya akaunti yako ili uwe tayari wakati ujao utakapohitaji usafiri.
Waalike marafiki watumie Uber na watapata punguzo kwenye safari yao ya kwanza.
Aina za usafiri hubadilika kulingana na jiji na eneo lako.
Unaweza tu kubadilisha eneo lako la kuchukuliwa mara moja. Unaweza tu kuweka eneo jipya lililo ndani ya mduara unaoonekana kwenye skrini ya simu yako.
Tafadhali kumbuka: huwezi kubadilisha eneo la kuchukuliwa unapotumia UberPool.
Kuhusu
Chunguza
Viwanja vya Ndege