Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Onesha Safari Yangu

Ukiwa na kipengele cha Onyesha Safari Yangu, unaweza kuwaruhusu marafiki na familia kuona hali ya safari yako na eneo uliko kwa urahisi kwenye ramani, ili kila mara mtu unayemwamini ajue uliko.

search
Navigate right up
search
search
Navigate right up
search

Umuhimu wake

Wajulishe watu wanaokusubiri wakati utakaowasili ili waweze kutulia.

Utaratibu wake

Itisha usafiri

Gusa ili ufungue programu na uombe usafiri kama kawaida. Baada ya kuomba usafiri, telezesha kidole juu kwenye skrini ya programu na uguse Hali ya Onyesha Safari.

Onesha hali ya safari yako

Chagua hadi watu 5 katika orodha ya anwani zako ambao ungependa kuwaonesha hali ya safari yako.

Safiri

Watu hao watapokea SMS iliyo na kiungo kilicho na maelezo ya safari yako. Ukikifungua, utaona jina la kwanza la dereva wako na maelezo ya gari. Pia utaona ramani ya mahali ulipo katika wakati halisi.

Faidika zaidi kutokana na safari yako

Angalia programu ya Uber kwa upatikanaji wa bidhaa, vipengele, ushirikiano na ofa katika eneo lako.

Kujitayarisha

Jifunze jinsi chaguo na vipengele vya usafiri hufanya kazi, ili kukusaidia kujiandaa kwa ajili ya safari yako.

Weka nafasi ya usafiri mapema

Omba safari kwa niaba ya mtu mwingine

Kujua nauli mapema

Baiskeli na skuta

Aina za safari za Uber

Waymo

Kurahisisha shughuli ya kuchukua msafiri

Tumia muda kidogo kusubiri na muda zaidi kuendesha gari ukitumia vipengele vilivyoundwa kwa ajili ya kuchukua msafiri kwa urahisi.

Badilisha maeneo ya kuchukuliwa

Maeneo Uliyohifadhi

Maelekezo ya kuchukuliwa

Maeneo ya Kuchukuliwa

1

Faidika zaidi kutokana na safari yako

Angalia programu ya Uber kwa upatikanaji wa bidhaa, vipengele, ushirikiano na ofa katika eneo lako.

1/6
1/3
1/2

Pakua App na uweke mipangilio ya akaunti yako ili uwe tayari wakati ujao utakapohitaji usafiri.

Waalike marafiki watumie Uber na watapata punguzo kwenye safari yao ya kwanza.