Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Nyumbani > Safari > Viwanja vya ndege

Safiri za uwanja wa ndege ni bora ukitumia Uber

Omba usafiri wa kuenda na kutoka kwenye viwanja zaidi ya 700 kote duniani. Katika maeneo mengi, utakuwa pia na chaguo la kupanga kuchukuliwa na kushukishwa kwenye uwanja wa ndege mapema.

search
Weka mahali
Navigate right up
search
Weka mahali unakoenda

Weka nafasi ya safari yako ya uwanja wa ndege mapema

Fika au toka kwenye uwanja wa ndege kwa urahisi kwa kuratibu safari hadi siku 90 kabla ya wakati.

Panga safari yako kwenda uwanja wa ndege

Kipengele cha kipaumbele kupitia Uber Reserve hukusaidia kupata safiri unaohitaji unapoihitaji.*

Pata usafiri wako unapotua**

Teknolojia yetu ya kufuatilia safari ya ndege itamfahamisha dereva wako ikiwa safari yako ya ndege imechelewa (au ndege imefika mapema) ili aweze kurekebisha muda wake wa kukuchukua ipasavyo.

Weka nafasi mapema pamoja na uweze kughairi wakati wowote

Funga bei unapoweka nafasi ya safari yako. Mipango yako ikibadilika, ghairi bila malipo hadi saa moja kabla ya muda ulioratibiwa wa kuchukuliwa.

Maswali yanayoulizwa sana kuhusu safari za uwanja wa ndege

  • Gharama ya safari yako inategemea mambo kadhaa, ikiwemo aina ya usafiri unaoomba, ada za barabarani, urefu au muda wa safari na mahitaji ya sasa.

    Ili kupata makadirio ya bei kabla ya kutuma ombi, unaweza kwenda hapa na ujaze maelezo yako ya eneo la kuchukuliwa na kushukishwa. Ukiomba usafiri utaona bei halisi kwenye programu kulingana na wakati halisi.

  • Chaguo zinazopatikana za usafiri zinategemea eneo uliko na kanuni za uwanja wa ndege husika. Taarifa sahihi zinaweza patikana kwa kwenda kwenye uber.com/go na uweke sehemu ya kuchukuliwa na kushukishwa.

  • Ukubwa wa eneo la kubeba mizingo unategemea muundo wa gari, idadi ya abiria na chaguo la usafiri unaomba. Kwa mfano, UberX inaweza kubeba masanduku 2 ilihali UberXL inaweza kubeba masanduku 3. Unapounganishwa na dereva, unaweza kuwasiliana naye kupitia programu ili kuthibitisha.

  • Mahali pa kushukishwa pameratibiwa katika viwanja vingi vya ndege. Hata hivyo, nafasi ya usafiri wa kuchukuliwa kutoka kwenye uwanja wa ndege hudhibitiwa na sheria na masharti ya uwanja huo wa ndege. Unaweza kupata maelezo zaidi kwa kuchagua uwanja wako wa ndege katika orodha iliyo hapa chini.

  • Kwa kutuma ombi unapohitaji, tunapendekeza uombe usafiri baada tu ya kushuka kwenye ndege, kupita eneo la forodha (ikihitajika) na kuchukuwa mizigo yako (ikiwa ipo). Epuka ada za muda wa kusubiri kwa kuchagua lango sahihi la kuwasili na kufuata maagizo katika programu ili kukutana na dereva wako.

  • Chaguo tofauti za usafiri zina vipindi tofauti vya muda wa kusubiri. Kwa safari unazoomba unapohitaji ukitumia UberX, Uber Comfort na UberXL, hakikisha unakutana na dereva wako ndani ya dakika 2 baada yake kuwasili ili uepuka ada za muda wa kusubiri. Utakuwa na dakika 5 za kusubiri kwenye Uber Black, Uber Black SUV, Uber Premier na Uber Premier SUV. Wasafiri walio na ulemavu wanaweza kuomba kuondolewa ada ya muda wa kusubiri.

    Unapotuma ombi ukitumia Uber Reserve, dereva wako atajulishwa kuhusu mabadiliko yoyote ya ratiba kwenye safari yako ya ndege. Kwa safari za UberX, Uber Comfort na UberXL, kutana na dereva wako hadi dakika 45 baada ya ndege yako kuwasili kabla ada za kuchelewa zitumike. Kwa safiri za Uber Black, Uber Black SUV, Uber Premier na Uber Premier SUV, kutana na dereva wako ndani ya dakika 60. Pata maelezo zaidi kuhusu Uber Reserve.

Tafuta uwanja wa ndege

Asia

India

Ulaya

Amerika ya Kaskazini

Kanada

Marekani

Amerika Kusini na ya Kati

Brazil

Meksiko

*Muda wa kuwasili ni makadirio tu; muda halisi wa kuwasili unategemea mambo ya nje ya udhibiti wa Uber, kama vile msongamano wa magari.

**Uber haikuhakikishii kwamba dereva atakubali ombi lako la usafiri. Safari yako huthibitishwa unapopokea maelezo kumhusu dereva wako. Dereva anapokubali ombi lako la usafiri, Uber haikuhakikishii kuwa dereva atakuwa amewasili ndege ipotua.

***Safari katika viwanja hivi vya ndege zinapatikana kupitia programu ya Grab, ambayo haimilikiwi na Uber. Uber haiwajibikii bidhaa na huduma za wahusika wengine.