Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Weka nafasi ya safari ukitumia Uber mapema katika Uwanja wa Ndege wa Kitaifa wa Ronald Reagan Washington

Kamilisha mipango yako leo kwa kuweka nafasi ya safari ukitumia Uber kwenda Uwanja wa Ndege wa Kitaifa wa Ronald Reagan Washington. Omba safari hadi siku 30 kabla ya safari yako ya ndege, wakati wowote na siku yoyote ya mwaka.

Mahali unakoenda
Chagua tarehe na saa

Date format is yyyy/MM/dd. Press the down arrow or enter key to interact with the calendar and select a date. Press the escape button to close the calendar.

Selected date is 2023/09/29.

1:52 AM
open

Huenda huduma ya kuweka nafasi isipatikane katika eneo lako la kuchukuliwa

Omba safari kote ulimwenguni

Bofya kitufe sasa na upate usafiri wa uwanja wa ndege katika zaidi ya vituo vikuu 600.

Safiri kama mkazi

Acha programu na dereva wako washughulikie maelezo ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika mji usiofahamu.

Safiri bila wasiwasi ukitumia Uber

Pata vipengele unavyovipenda, ikiwemo bei za wakati halisi na malipo ya kielektroniki, hata ukiwa ugenini.

Njia za kusafiri katika eneo husika

  • UberX

    1-4

    Usafiri wa bei nafuu unaopatikana kila siku

  • Starehe Electric

    1-4

    Magari ya Premium yasiyo na uchafuzi

  • Raha

    1-4

    Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha

  • UberXL

    1-6

    Affordable rides for groups up to 6

  • Uber Green

    1-4

    Eco-Friendly

  • Return a package

    1-4

    Have a driver deliver a prepaid package to Fedex, UPS, or USPS

  • Connect

    1-4

    Send packages to friends & family

  • Uber Pet

    1-4

    Affordable rides for you and your pet

1/8

Chukua msafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kitaifa wa Ronald Reagan Washington (DCA)

Fungua programu yako ili uombe safari

Ukiwa tayari, fungua programu ya Uber ili uombe safari ya kuelekea mahali unakoenda. Chagua chaguo la usafiri wa uwanja wa ndege wa DCA linalokidhi mahitaji ya idadi ya wasafiri na mizigo yenu.

Fuata maelekezo kwenye programu

For Terminal 1 pickups, head outside and meet your driver curbside.

If you’re arriving at Terminal 2, exit baggage claim and meet your driver at the outer curb. Be sure to meet your driver at the correct zone.

Kutana na dereva wako

Go to your assigned DCA pickup location as specified by the app. Your driver’s name, license plate, and car color will show in the app. Verify your ride before you get in. If you can’t find your driver, contact them through the app.

Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana

  • Ndiyo. Bonyeza hapa ili uone orodha ya viwanja vya ndege kote duniani unakoweza kuitisha usafiri wa Uber.

  • Nauli ya usafiri wa Uber kuenda (au kutoka) Uwanja wa Ndege wa DCA inategemea hali kama vile aina ya usafiri, kadirio ya umbali na muda wa safari, ada ya vibali barabarani na idadi ya maombi ya usafiri.

    Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuitisha usafiri kwa kuweka eneo la kuchukuliwa na mahali unakoenda katika zana ya kukadiria nauli katika Uber hapo juu. Kisha, unapoitisha usafiri utaona nauli yako halisi kwenye app kwa kutegemea hali za wakati huo.

  • Maeneo ya kuchukuliwa yanategemea aina ya usafiri unaoitisha na ukubwa wa uwanja wa ndege. Fuata maagizo kwenye App kuhusu eneo utakakomkuta dereva wako. Unaweza pia kuangalia mabango yanayoashiria maeneo ya usafiri wa pamoja yaliyobainishwa kwenye uwanja wa ndege.

    Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

  • Msimbo wa Uwanja wa Ndege DCA unasimamia Washington, DC, USA.

Taarifa zaidi

  • Unaendesha gari ukitumia Uber?

    Kuanzia eneo la kuwachukua wasafiri hadi kufuata sheria na kanuni za mahali husika, fahamu jinsi ya kufanya safari zako za uwanja wa ndege ziwe bora zaidi.

  • Unaelekea uwanja tofauti wa ndege?

    Unaweza kushushwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 600 vya ndege kote ulimwenguni.

1/2

Maelezo kwa wageni kwenye Uwanja wa Ndege wa DCA

Ronald Reagan Washington National Airport (DCA) serves as the primary airport for Washington, DC, transporting more than 21 million passengers annually. Located 5 miles (8 kilometers) from downtown Washington, it is the closest commercial airport to the US capital. The airport is a 15-minute drive from DC’s city center in ideal road and traffic conditions.

DCA Airport terminals

DCA Airport has 2 terminals—Terminal 1 and Terminal 2. DCA Airport lounges are located across all terminals. You can plan your trip using the information below.

DCA Terminal 1

  • Air Canada
  • Frontier
  • Southwest

DCA Terminal 2

  • American
  • Alaska
  • Delta
  • jetBlue
  • United

DCA international terminal

DCA Airport does not offer international flights (excluding Canada).

Dining at DCA Airport

Travelers can choose from more than 40 dining spots at DCA that serve a variety of foods including fast food, snacks, and international dishes. Most DCA Airport food options are located in the terminals, but some can be found in the National Hall, pre-security.

Getting around DCA Airport

DCA Airport’s shuttle service transports passengers between the terminals; the parking lot; and the rental car center. Destination information can be found on the front and side of the shuttle buses. The DCA Airport shuttle bus service operates 24 hours a day.

Things to do at DCA Airport

DCA Airport hosts an arts program, showcasing regional, national, and international rotating exhibits. A gallery walk, located in Historical Terminal 1 between the Historic Lobby and the present-day ticketing lobby, includes case displays and wall displays by artists from the local area. Additionally, the airport hosts musicians, singers, dancers, and other artists. DCA Airport features a number of shops and boutiques, ranging from newsstands to clothing stores.

Currency exchange at DCA Airport

The DCA Airport currency exchange office is located on the Concourse Level near Terminal 2, pre-security.

Hotels near DCA Airport

Whether you have a layover or an overnight flight delay, or you need a place to stay for a visit near DCA, there are more than 20 hotels and accommodations nearby.

Points of interest near DCA Airport

  • Georgetown
  • The Lincoln Memorial and other DC monuments
  • The National Mall and the surrounding museums
  • The White House

Find more information about DCA here.

Facebook
Instagram
Twitter

Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za wahusika wengine ambazo hazidhibitiwi na Uber na zinazoweza kubadilishwa au kusasishwa kila baada ya kipindi fulani. Taarifa yoyote iliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo haihusiani moja kwa moja na Uber au uendeshaji wake ni kwa madhumuni ya kuarifu pekee na haifai kutegemewa au kufasiriwa au kuchambuliwa kwa namna inayoweka dhamana za aina yoyote, iwe zimeelezewa au kudokezewa, kuhusu taarifa iliyomo. Matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na mji. Uokoaji wa pesa kwenye ofa unatumika kwa watumiaji wapya pekee. Huwezi kutumia ofa hii pamoja na ofa nyinginezo na haiwezi kutumiwa katika bakshishi. Inapatikana kwa muda mfupi. Ofa na masharti yanaweza kubadilika.