Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Weka nafasi ya safari ukitumia Uber mapema katika San Jose Mineta International Airport

Kamilisha mipango yako leo kwa kuweka nafasi ya safari ukitumia Uber kwenda San Jose Mineta International Airport. Omba safari hadi siku 30 kabla ya safari yako ya ndege, wakati wowote na siku yoyote ya mwaka.

Mahali unakoenda
Chagua tarehe na saa

Date format is yyyy/MM/dd. Press the down arrow or enter key to interact with the calendar and select a date. Press the escape button to close the calendar.

Selected date is 2023/09/19.

10:28 PM
open

Huenda huduma ya kuweka nafasi isipatikane katika eneo lako la kuchukuliwa

Omba safari kote ulimwenguni

Bofya kitufe sasa na upate usafiri wa uwanja wa ndege katika zaidi ya vituo vikuu 600.

Safiri kama mkazi

Acha programu na dereva wako washughulikie maelezo ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika mji usiofahamu.

Safiri bila wasiwasi ukitumia Uber

Pata vipengele unavyovipenda, ikiwemo bei za wakati halisi na malipo ya kielektroniki, hata ukiwa ugenini.

Njia za kusafiri katika eneo husika

 • UberX

  1-4

  Usafiri wa bei nafuu unaopatikana kila siku

 • UberX Share

  1

  One seat only

 • Starehe Electric

  1-4

  Magari ya Premium yasiyo na uchafuzi

 • UberXL

  1-6

  Affordable rides for groups up to 6

 • Raha

  1-4

  Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha

1/5

Chukua msafiri katika San Jose Mineta International Airport (SJC)

Fungua programu yako ili uombe safari

Ukiwa tayari, fungua programu ya Uber ili uombe safari ya kuelekea mahali unakoenda. Chagua chaguo la usafiri wa uwanja wa ndege wa SJC linalokidhi mahitaji ya idadi ya wasafiri na mizigo yenu.

Fuata maelekezo kwenye programu

Nenda nje na ufuate ishara hadi kwenye eneo la kuchukua wasafiri wanaosafiri pamoja.

Ili kuchukuliwa kwenye Kituo cha A, kutana na dereva wako nje ya sehemu ya kuchukua mizigo, kwenye Kituo cha 1. Ili kuchukuliwa kwenye Kituo cha A, kutana na dereva wako katika kisiwa cha trafiki, kwenye Kituo cha 9.

Kutana na dereva wako

Nenda kwenye eneo lako la kuchukuliwa la SJC kama ilivyobainishwa kwenye programu. Tafadhali kumbuka: eneo hili huenda lisiwe kwenye lango la kutoka lililo karibu zaidi nawe. Jina la dereva wako, nambari ya leseni na rangi ya gari itaonyeshwa kwenye programu. Thibitisha gari lako kabla ya kuingia. Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

Uwanja wa Ndege wa San Jose Ramani

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa San Jose una vituo 2: Upande wa kuabiri uliounganisha Kituo cha A na B. Vituo vya A na B vinashughulikia wanaowasili kutoka safari za kimataifa.

Ramani ya Uwanja wa Ndege wa San Jose

Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana

 • Ndiyo. Bonyeza hapa ili uone orodha ya viwanja vya ndege kote duniani unakoweza kuitisha usafiri wa Uber.

 • Nauli ya usafiri wa Uber kuenda (au kutoka) Uwanja wa Ndege wa SJC inategemea hali kama vile aina ya usafiri, kadirio ya umbali na muda wa safari, ada ya vibali barabarani na idadi ya maombi ya usafiri.

  Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuitisha usafiri kwa kuweka eneo la kuchukuliwa na mahali unakoenda katika zana ya kukadiria nauli katika Uber hapo juu. Kisha, unapoitisha usafiri utaona nauli yako halisi kwenye app kwa kutegemea hali za wakati huo.

 • Maeneo ya kuchukuliwa yanategemea aina ya usafiri unaoitisha na ukubwa wa uwanja wa ndege. Fuata maagizo kwenye App kuhusu eneo utakakomkuta dereva wako. Unaweza pia kuangalia mabango yanayoashiria maeneo ya usafiri wa pamoja yaliyobainishwa kwenye uwanja wa ndege.

  Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

Taarifa zaidi

 • Unaendesha gari ukitumia Uber?

  Kuanzia eneo la kuwachukua wasafiri hadi kufuata sheria na kanuni za mahali husika, fahamu jinsi ya kufanya safari zako za uwanja wa ndege ziwe bora zaidi.

 • Unaelekea uwanja tofauti wa ndege?

  Unaweza kushushwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 600 vya ndege kote ulimwenguni.

1/2

San Jose Mineta International Airport visitor information

San Jose Mineta International Airport (SJC) is the fastest-growing airport in the US based on passenger numbers, serving more than 12.5 million passengers annually. Located about 4 miles (6 kilometers) from downtown San Jose, the airport is about an 8-minute drive away in ideal road and traffic conditions.

San Jose Airport terminals

SJC Airport is divided into 2 terminals, A and B, with a total of 36 boarding gates across both terminals. San Jose Airport lounges can be found in Terminal A. You can plan your trip using the information below.

SJC Terminal A

 • Air Canada
 • American
 • Delta
 • Hawaiian
 • JetBlue
 • Spirit
 • United
 • Volaris
 • The Club at SJC

SJC Terminal B

 • Alaska
 • British Airways
 • Southwest
 • ZIPAIR

SJC international terminal

Boarding for San Jose Airport international flights are handled at Terminal A. SJC Airport offers nonstop flights to numerous international destinations.

Dining at San Jose Airport

Travelers can choose from multiple dining options at SJC, including fast-food chains, bars, and restaurants with table service. San Jose Airport food and beverages can be purchased across both terminals.

Getting around San Jose Airport

Travelers at SJC can use inter-terminal shuttles. The San Jose Airport shuttles make a continuous loop of Terminal A, Terminal B, and the parking lots. Shuttles depart every 7 to 10 minutes from each terminal, the rental car center, and Daily Lot 4.

Things to do at San Jose Airport

SJC hosts an art program that reflects the region’s role as a global center of technology and innovation. Artwork is located in the Terminal B arrivals hall, the South Concourse, and the mezzanine. San Jose Airport offers multiple shopping locations across both terminals, including stores selling cosmetics, jewelry, and electronics.

Hotels near San Jose Airport

Whether you have a layover or an overnight flight delay, or you need a place to stay for a visit near SJC, there are more than 25 hotels and accommodations nearby.

Points of interest near San Jose Airport

 • Guadalupe River Park and Gardens
 • Mexican Heritage Plaza
 • San Jose’s history and tech museums

Find more information about San Jose Airport here.

Facebook
Instagram
Twitter

Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za wahusika wengine ambazo hazidhibitiwi na Uber na zinazoweza kubadilishwa au kusasishwa kila baada ya kipindi fulani. Taarifa yoyote iliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo haihusiani moja kwa moja na Uber au uendeshaji wake ni kwa madhumuni ya kuarifu pekee na haifai kutegemewa au kufasiriwa au kuchambuliwa kwa namna inayoweka dhamana za aina yoyote, iwe zimeelezewa au kudokezewa, kuhusu taarifa iliyomo. Matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na mji. Uokoaji wa pesa kwenye ofa unatumika kwa watumiaji wapya pekee. Huwezi kutumia ofa hii pamoja na ofa nyinginezo na haiwezi kutumiwa katika bakshishi. Inapatikana kwa muda mfupi. Ofa na masharti yanaweza kubadilika.