Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hartsfield-Jackson Atlanta (ATL)
Je, unatafuta mbinu mbadala ya usafiri ambayo si basi la kawaida la Uwanja wa Ndege wa Atlanta au teksi? Iwe unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa ATL hadi Tangisamaki la Georgia au kutoka Bustani ya Mimea ya Atlanta hadi ATL, fika unakoenda ukitumia programu ya Uber unayoijua tayari. Omba gari la kukupeleka na kukurudisha kutoka ATL kwa kubofya kitufe.
Atlanta, GA 30320+1 800-897-1910
Weka nafasi ya safari ukitumia Uber mapema katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hartsfield-Jackson Atlanta
Kamilisha mipango yako leo kwa kuweka nafasi ya safari ukitumia Uber kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hartsfield-Jackson Atlanta. Omba safari hadi siku 90 kabla ya safari yako ya ndege, wakati wowote na siku yoyote ya mwaka.
Omba safari kote ulimwenguni
Bofya kitufe sasa na upate usafiri wa uwanja wa ndege katika zaidi ya vituo vikuu 700.
Safiri kama mkazi
Acha programu na dereva wako washughulikie maelezo ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika mji usiofahamu.
Safiri bila wasiwasi ukitumia Uber
Pata vipengele unavyovipenda, ikiwemo bei za wakati halisi na malipo ya kielektroniki, hata ukiwa ugenini.
Njia za kusafiri katika eneo husika
UberX
1-4
Usafiri wa bei nafuu unaopatikana kila siku
UberX Share
1
You're saving 35%
Starehe Electric
1-4
Magari ya Premium yasiyo na uchafuzi
Raha
1-4
Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha
UberXL
1-6
Affordable rides for groups up to 6
Uber Pet
1-4
Affordable rides for you and your pet
Return a package
1-4
Have a driver deliver a prepaid package to Fedex, UPS, or USPS
Connect
1-4
Send packages to friends & family
Black
1-4
Usafiri wa magari ya kifahari yanayoendeshwa na madereva shupavu
Black SUV
1-6
SUV za Starehe za vikundi vya hadi watu 6
Black Hourly
1-4
Safari za kifahari kwa saa kwa madereva weledi
Chukua msafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hartsfield-Jackson Atlanta (ATL)
Fungua programu yako ili uombe safari
Ukiwa tayari, fungua programu ya Uber ili uombe safari ya kuelekea mahali unakoenda. Chagua chaguo la usafiri wa Uwanja wa Ndege wa Atlanta linalokidhi mahitaji ya idadi ya wasafiri na mizigo yenu.
Fuata ishara za maeneo ya kuchukua wasafiri Wanaosafiri Pamoja ya ATL kwenye kila kituo.
Ondoka kwenye Kituo
You’ll get directions about ATL pick-up points directly in the app.
For the Domestic Terminal, exit on the lower level for all Atlanta Airport pick-up locations.
For the International Terminal, exit on the arrivals level for all Atlanta Airport pick-up locations.
Thibitisha mahali ulipo
Chagua kituo na eneo lako la kuchukuliwa la ATL kama ilivyobainishwa kwenye programu. Tafadhali kumbuka: eneo hili huenda lisiwe kwenye lango la kutoka lililo karibu zaidi nawe.
Jina la dereva wako, nambari ya leseni na rangi ya gari itaonyeshwa kwenye programu. Thibitisha gari lako kabla ya kuingia. Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.
Uwanja wa Ndege wa Atlanta Ramani
Ukumbi wa A hadi E ni wa wasafiri wa nchini na F ni wa wasafiri wa kimataifa. Unaweza kupata maegesho popote kwenye Ukumbi wa T.
Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana
- Do drivers using Uber pick up at ATL?
Ndiyo. Nenda kwenye [orodha hii ya viwanja vya ndege](https://www.uber.com/global/sw/airports/) kote ulimwenguni ambapo unaweza kuomba safari ukitumia Uber.
- Kusafiri kwa Uber hadi ATL kutagharimu pesa ngapi?
Down Small The cost of an Uber trip to (or from) ATL depends on factors that include the type of ride you request, the estimated length and duration of the trip, tolls, and current demand for rides.
You can see an estimate of the price before you request by going here and entering your pickup spot and destination. Then when you request a ride you’ll see your actual price in the app based on real-time factors.
- Ni wapi nitamkuta dereva wangu ili kuchukuliwa kwenye uwanja wa ndege?
Down Small Pickup locations may depend on the type of ride you request and the size of the airport. Follow the instructions in the app about where to meet your driver. You can also look for signs that point to designated airport rideshare zones. If you can’t find your driver, contact them through the app.
Taarifa zaidi
Unaendesha gari ukitumia Uber?
Kuanzia eneo la kuwachukua wasafiri hadi kufuata sheria na kanuni za mahali husika, fahamu jinsi ya kufanya safari zako za uwanja wa ndege ziwe bora zaidi.
Unaelekea uwanja tofauti wa ndege?
Unaweza kushushwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 700 vya ndege kote ulimwenguni.
Maelezo kwa wageni kwenye Uwanja wa Ndege wa Atlanta
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hartsfield-Jackson Atlanta ndio uwanja wa ndege wenye shughuli nyingi zaidi duniani, takribani wasafiri 275,000 huupitia kila siku. Uwanja upo maili 10 (kilomita 16) pekee kutoka katikati ya jiji la Atlanta na upo ndani ya eneo la miji lenye ukubwa sawa na Massachusetts, ni sehemu ya kuanza kwa wasafiri walio katika ziara za kikazi au starehe.
Vituo katika Uwanja wa Ndege wa Atlanta
Uwanja wa Ndege wa Atlanta una vituo 2 vya wasafiri: Kituo cha Nchini na cha Kimataifa. Vituo hivyo vipo katika pande tofauti za uwanja wa ndege na vina kumbi 7:
- Njia ya T ipo karibu na Kituo cha Safari za Nchini
- Njia ya F ipo katika Kituo cha Kimataifa
- Njia za A, B, C, D na E zimepangika katika usanjari wa kialfabeti kati ya Kituo cha Safari za Ndani na Kituo cha Kimataifa, Njia ya A ndiyo iliyo karibu zaidi na Kituo cha Safari za Ndani
Kumbi nyingi za Uwanja wa Ndege wa ATL zipo katika vituo vyote viwili, zikijumuisha za American Airlines Admirals Club, Delta Sky Club na United Club. Unaweza kupanga safari yako ukitumia taarifa zilizo hapa chini.
Kituo cha Safari za Kitaifa katika Uwanja wa Atlanta
Katika Kituo cha North, unaweza kuabiri ndege za mashirika haya:
- Alaska
- American
- Boutique Air
- Frontier
- JetBlue
- Kusini Magharibi
- Spirit
- United
Katika Kituo cha South, unaweza kuabiri ndege za Delta.
Kituo cha Kimataifa katika Uwanja wa Ndege wa Atlanta
Kituo cha Kimataifa kina madaraja 3 na ndipo yalipo Malango F1 hadi F14 kwenye Njia ya F. Madaraja ya kuondoka yanaunganisha moja kwa moja kwenye maegesho yanayolipiwa kwa saa na daraja la wanaowasili. Kituo cha Kimataifa huhudumia zaidi ya maeneo 75 katika nchi 50 na ni makao ya mashirika ya British Airways na KLM.
Kupata chakula katika Uwanja wa Ndege wa Atlanta
Kuna zaidi ya maeneo 110 kwa ajili ya vyakula na vinywaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hartsfield-Jackson Atlanta yakiwemo migahawa maarufu inayouza vyakula vya kufungashiwa pamoja na migahawa ya kifahari iliyo na huduma za kulia mezani. Migahawa na maeneo mengine ya kupata chakula katika Uwanja wa Ndege wa ATL yanapatikana katika njia na ukumbi.
Kusafiri katika Uwanja wa Ndege wa Atlanta
Uwanja wa ndege wa Atlanta una usafiri wake wa chini chini unaoitwa Plane Train, ambao unaunganisha njia zote na vituo vya Safari za Ndani na Kimataifa. Treni hizi zenye mabehewa 4 huzunguka mkondo wa maili 3 (kilomita 5) kila baada ya takribani dakika 2. Kwa wastani, treni hizo hubeba zaidi ya watu 200,000 kila siku. Abiria pia wanaweza kutumia SkyTrain, inayohudumu nje ya uwanja wa ndege, na kuunganisha Kituo cha Mikutano ya Kimataifa cha Georgia na hoteli kadhaa zinazoongoza za uwanja wa ndege.
Mambo ya kufanya kwenye Uwanja wa Ndege wa Atlanta
Hartsfield una vivutio kadhaa, ikiwa ni pamoja na mpango wa maonesho ya sanaa katika maeneo mbalimbali ya uwanja wa ndege. Baadhi ya maonesho ni ya kudumu na mengine ni ya kuhamishwa. ATL huwa na tamasha 4 kila mwaka katika ukumbi mkuu wa uwanja wa ndege. Kwa wanaopenda wanyama, kuna bustani ya futi 1,000 mraba kwa ajili ya mbwa. Ikiwa una muda wa kununua vitu, Uwanja wa Ndege wa Atlanta una maduka, zikiwemo rafu za magazeti na hata maduka ya nguo.
Kubadilisha sarafu katika Uwanja wa Ndege wa Atlanta
Kuna sehemu kadhaa za kubadilishia fedha katika uwanja wa ndege wa Atlanta katika njia za A, B, C, D, na F pamoja na kwenye ukumbi mkuu.
Hoteli karibu na Uwanja wa Ndege wa Atlanta
Iwe unasubiri ndege nyingine au ndege imechelewa usiku kucha, au kama unahitaji mahali pa kukaa karibu na ATL, kuna zaidi ya hoteli 60 za uwanja wa ndege na maeneo ya kulala karibu.
Maeneo ya kuzuru karibu na Uwanja wa Ndege wa Atlanta
- Bustani ya mimea ya Atlanta
- Bustani ya Centennial Olympic
- Bustani ya wanyama ya Atlanta
Pata maelezo zaidi kuhusu ATL hapa.
Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za wahusika wengine ambazo hazidhibitiwi na Uber na zinazoweza kubadilishwa au kusasishwa kila baada ya kipindi fulani. Taarifa yoyote iliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo haihusiani moja kwa moja na Uber au uendeshaji wake ni kwa madhumuni ya kuarifu pekee na haifai kutegemewa au kufasiriwa au kuchambuliwa kwa namna inayoweka dhamana za aina yoyote, iwe zimeelezewa au kudokezewa, kuhusu taarifa iliyomo. Matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na mji.
Kampuni