Uwanja wa Ndege wa Gatwick (LGW)
Je, unatafuta mbinu mbadala ya usafiri ambayo si basi la kawaida la Uwanja wa Ndege wa Gatwick au teksi? Iwe unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Gatwick hadi London au kutoka London hadi Uwanja wa Ndege wa Gatwick, fika unakoenda ukitumia programu ya Uber unayoijua tayari. Omba gari la kukupeleka na kukurudisha kutoka LGW kwa kubofya kitufe.
RH6 0NP+44 844-892-0322
Weka nafasi ya safari ukitumia Uber mapema katika Uwanja wa Ndege wa Gatwick
Kamilisha mipango yako leo kwa kuweka nafasi ya safari ukitumia Uber kwenda Uwanja wa Ndege wa Gatwick. Omba safari hadi siku 90 kabla ya safari yako ya ndege, wakati wowote na siku yoyote ya mwaka.
Omba safari kote ulimwenguni
Bofya kitufe sasa na upate usafiri wa uwanja wa ndege katika zaidi ya vituo vikuu 700.
Safiri kama mkazi
Acha programu na dereva wako washughulikie maelezo ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika mji usiofahamu.
Safiri bila wasiwasi ukitumia Uber
Pata vipengele unavyovipenda, ikiwemo bei za wakati halisi na malipo ya kielektroniki, hata ukiwa ugenini.
Njia za kusafiri katika eneo husika
Chukua msafiri katika Uwanja wa Ndege wa Gatwick (LGW)
Fungua programu yako ili uombe safari
Ukiwa tayari, fungua programu ya Uber ili uombe safari ya kuelekea mahali unakoenda. Chagua chaguo la usafiri wa uwanja wa ndege wa LGW linalokidhi mahitaji ya idadi ya wasafiri na mizigo yenu.
Fuata maelekezo kwenye programu
Utapata maelekezo kuhusu maeneo ya kuchukua wasafiri ya Uwanja wa Ndege wa Gatwick moja kwa moja kwenye programu. Maeneo ya kuchukua wasafiri yanaweza kutofautiana kulingana na kituo. Ishara za maeneo ya kuchukua wasafiri wanaosafiri pamoja zinaweza pia kupatikana katika Uwanja wa Ndege wa Gatwick.
Kutana na dereva wako
Nenda kwenye eneo lako la kuchukuliwa la LGW kama ilivyobainishwa kwenye programu. Tafadhali kumbuka: eneo hili huenda lisiwe kwenye lango la kutoka lililo karibu zaidi nawe. Jina la dereva wako, nambari ya leseni na rangi ya gari itaonyeshwa kwenye programu. Thibitisha gari lako kabla ya kuingia. Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.
Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana
- Je, inawezekana kuitisha usafiri katika Uwanja wa Ndege wa Gatwick?
Uber inapatikana katika Uwanja wa Ndege wa LGW, kwa hivyo unaweza kufurahia usafiri wa starehe na uhakika popote unapotaka kwenda.
- Eneo la kuchukua wasafiri wa Uber katika Uwanja wa Ndege wa Gatwick liko wapi?
Down Small Ili kupata eneo la kuchukuliwa, angalia programu ya Uber baada ya kuitisha usafiri.
- Itagharimu hela ngapi kutumia usafiri wa Uber katika uwanja wa ndege wa Gatwick London?
Down Small Hata kama safari si ndefu sana, ada za Uber kutoka na kwenda Uwanja wa Ndege wa Gatwick zinaweza kuathiriwa na muda, foleni na masuala mengine. Ada za uwanja wa ndege na maegesho pia zinaweza kuongezwa kwenye nauli yako kamili ya safari.
- Itachukua muda gani kuchukuliwa na Uber?
Down Small Muda wa kuchukuliwa unaweza kuwa tofauti kulingana na wakati, idadi ya madereva wanaopatikana na masuala mengine. Mara baada ya kuitisha usafiri, angalia programu ili uone kadirio la muda wa kusubiri.
Taarifa zaidi
Unaendesha gari ukitumia Uber?
Kuanzia eneo la kuwachukua wasafiri hadi kufuata sheria na kanuni za mahali husika, fahamu jinsi ya kufanya safari zako za uwanja wa ndege ziwe bora zaidi.
Unaelekea uwanja tofauti wa ndege?
Unaweza kushushwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 700 vya ndege kote ulimwenguni.
Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za wahusika wengine ambazo hazidhibitiwi na Uber na zinazoweza kubadilishwa au kusasishwa kila baada ya kipindi fulani. Taarifa yoyote iliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo haihusiani moja kwa moja na Uber au uendeshaji wake ni kwa madhumuni ya kuarifu pekee na haifai kutegemewa au kufasiriwa au kuchambuliwa kwa namna inayoweka dhamana za aina yoyote, iwe zimeelezewa au kudokezewa, kuhusu taarifa iliyomo. Matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na mji.
Kampuni