Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda (PGD)
Je, unatafuta mbinu mbadala ya usafiri ambayo si basi la kawaida la Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda au teksi? Iwe unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda hadi Bustani ya Ponce de Leon au kutoka kwenye eneo la kibiashara la jiji hadi PGD, fika unakoenda ukitumia programu ya Uber unayoijua tayari. Omba gari la kukupeleka na kukurudisha kutoka PGD kwa kubofya kitufe.
Punta Gorda, FL 33982+1 941-639-1101
Weka nafasi ya safari ukitumia Uber mapema katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda
Kamilisha mipango yako leo kwa kuweka nafasi ya safari ukitumia Uber kwenda Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda. Omba safari hadi siku 30 kabla ya safari yako ya ndege, wakati wowote na siku yoyote ya mwaka.
Omba safari kote ulimwenguni
Bofya kitufe sasa na upate usafiri wa uwanja wa ndege katika zaidi ya vituo vikuu 600.
Safiri kama mkazi
Acha programu na dereva wako washughulikie maelezo ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika mji usiofahamu.
Safiri bila wasiwasi ukitumia Uber
Pata vipengele unavyovipenda, ikiwemo bei za wakati halisi na malipo ya kielektroniki, hata ukiwa ugenini.
Njia za kusafiri katika eneo husika
Basi dogo la basi
1-2
UberX
1-4
Safari za bei nafuu, kila siku
Ada ya Kipaumbele cha UberX
1-4
Safari za bei nafuu, kila siku
Raha
1-4
Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha
UberXL
1-6
Affordable rides for groups up to 6
Uber Green
1-4
Eco-Friendly
Uber Pet
1-4
Affordable rides for you and your pet
Connect
1-4
Send packages to friends & family
Premier
1-4
Premium rides with highly-rated drivers
Chukua msafiri katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda (PGD)
Ita gari ukiwa tayari kutoka nje
Weka mahali unakoenda, kisha uchague gari linalotoshea wasafiri na mizigo mliyo nayo.
Ondoka kwenye kituo kikuu
Kisha uelekee kwenye maegesho ya muda mfupi yaliyo mkabala wa lango kuu la kuondoka.
Kutana na dereva wako kwenye maegesho ya muda mfupi
Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.
Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda Ramani
Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda ni mdogo na una kituo kimoja na barabara 3 za kupaa na kutua kwa ndege.
Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana
- Je, madereva wa Uber huchukua wasafiri katika PGD?
Ndiyo. Bonyeza hapa ili uone orodha ya viwanja vya ndege kote duniani unakoweza kuitisha usafiri wa Uber.
- Kusafiri kwa Uber hadi Uwanja wa Ndege wa PGD kutagharaimu pesa ngapi?
Down Small Nauli ya usafiri wa Uber kuenda (au kutoka) Uwanja wa Ndege wa PGD inategemea hali kama vile aina ya usafiri, kadirio ya umbali na muda wa safari, ada ya vibali barabarani na idadi ya maombi ya usafiri.
Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuitisha usafiri kwa kuweka eneo la kuchukuliwa na mahali unakoenda katika zana ya kukadiria nauli katika Uber hapo juu. Kisha, unapoitisha usafiri utaona nauli yako halisi kwenye app kwa kutegemea hali za wakati huo.
- Ni wapi nitamkuta dereva wangu ili kuchukuliwa kwenye uwanja wa ndege?
Down Small Maeneo ya kuchukuliwa yanategemea aina ya usafiri unaoitisha na ukubwa wa uwanja wa ndege. Fuata maagizo kwenye App kuhusu eneo utakakomkuta dereva wako. Unaweza pia kuangalia mabango yanayoashiria maeneo ya usafiri wa pamoja yaliyobainishwa kwenye uwanja wa ndege.
Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.
Taarifa zaidi
Unaendesha gari ukitumia Uber?
Kuanzia eneo la kuwachukua wasafiri hadi kufuata sheria na kanuni za mahali husika, fahamu jinsi ya kufanya safari zako za uwanja wa ndege ziwe bora zaidi.
Unaelekea uwanja tofauti wa ndege?
Unaweza kushushwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 600 vya ndege kote ulimwenguni.
Maelezo kwa wageni kwenye Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda
Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda hutoa usafiri wa ndani ya nchi kwa zaidi ya watu milioni 1.3 kila mwaka. Uwanja wenyewe upo umbali usiozidi maili 3 (kilomita 5), mwendo wa kama dakika 5 kwa gari wakati hakuna foleni au vikwazo vingine barabarani, kutoka katikati ya jiji la Punta Gorda, Kaunti ya Charlotte.
Vituo katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda
Uwanja wa ndege wa PGD una kituo kimoja na malango 6. Kituo Kikuu kina sehemu ya tiketi, kuchukua mizigo, usalama na sehemu za kuabiria. Mashirika ya ndege yaliyo katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda ni Allegiant na ndege za kukodi za Air Trek. Hakuna safari za kimataifa kutoka uwanja wa ndege wa PGD.
Kupata chakula katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda
Sehemu za kula katika uwanja wa ndege wa PGD zinajumuisha mgahawa na baa iliyo katika kituo kilicho baada ya ukaguzi wa usalama. Kioski cha chakula kilicho katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda hufunguliwa wakati wa shughuli nyingi karibu na Lango la 1. Kuna mgahawa ulio karibu na kituo na hufunguliwa kwa ajili ya kiamsha kinywa na chakula cha mchana.
Kusafiri katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda
Uwanja wa Ndege wa PGD hauna mfumo wa usafiri wa ndani.
Mambo ya kufanya katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda
Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda si mpana sana na hauna shughuli za ziada katika uwanja wenyewe.
Kubadilisha sarafu katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda
Hakuna ofisi za kubadilisha fedha katika Uwanja wa Ndege wa PGD.
Hoteli karibu na Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda
Iwe unasubiri ndege nyingine au ndege imechelewa usiku kucha, au kama unahitaji mahali pa kukaa karibu na PGD, kuna zaidi ya hoteli 10 na maeneo ya kukaa karibu.
Maeneo ya kuzuru karibu na Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda
- Bustani ya Allapatchee Shores
- Ufukwe wa Englewood
- Kijiji cha Fishermen
- Kituo cha historia cha Punta Gorda
Pata maelezo zaidi kuhusu PGD hapa.
Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za wahusika wengine ambazo hazidhibitiwi na Uber na zinazoweza kubadilishwa au kusasishwa kila baada ya kipindi fulani. Taarifa yoyote iliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo haihusiani moja kwa moja na Uber au uendeshaji wake ni kwa madhumuni ya kuarifu pekee na haifai kutegemewa au kufasiriwa au kuchambuliwa kwa namna inayoweka dhamana za aina yoyote, iwe zimeelezewa au kudokezewa, kuhusu taarifa iliyomo. Matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na mji. Uokoaji wa pesa kwenye ofa unatumika kwa watumiaji wapya pekee. Huwezi kutumia ofa hii pamoja na ofa nyinginezo na haiwezi kutumiwa katika bakshishi. Inapatikana kwa muda mfupi. Ofa na masharti yanaweza kubadilika.
Kampuni