Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Weka nafasi ya safari ukitumia Uber mapema katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nashville

Kamilisha mipango yako leo kwa kuweka nafasi ya safari ukitumia Uber kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nashville. Omba safari hadi siku 30 kabla ya safari yako ya ndege, wakati wowote na siku yoyote ya mwaka.

Mahali unakoenda
Chagua tarehe na saa

Date format is yyyy/MM/dd. Press the down arrow or enter key to interact with the calendar and select a date. Press the escape button to close the calendar.

Selected date is 2023/09/27.

9:12 PM
open

Huenda huduma ya kuweka nafasi isipatikane katika eneo lako la kuchukuliwa

Omba safari kote ulimwenguni

Bofya kitufe sasa na upate usafiri wa uwanja wa ndege katika zaidi ya vituo vikuu 600.

Safiri kama mkazi

Acha programu na dereva wako washughulikie maelezo ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika mji usiofahamu.

Safiri bila wasiwasi ukitumia Uber

Pata vipengele unavyovipenda, ikiwemo bei za wakati halisi na malipo ya kielektroniki, hata ukiwa ugenini.

Njia za kusafiri katika eneo husika

  • UberX

    1-4

    Usafiri wa bei nafuu unaopatikana kila siku

  • Starehe Electric

    1-4

    Magari ya Premium yasiyo na uchafuzi

  • Raha

    1-4

    Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha

  • UberXL

    1-6

    Affordable rides for groups up to 6

  • Uber Green

    1-4

    Eco-Friendly

  • Return a package

    1-4

    Have a driver deliver a prepaid package to Fedex, UPS, or USPS

  • Connect

    1-4

    Send packages to friends & family

  • Uber Pet

    1-4

    Affordable rides for you and your pet

1/8

Chukua msafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nashville (BNA)

Fungua programu yako ili uombe safari

Ukiwa tayari, fungua programu ya Uber ili uombe safari ya kuelekea mahali unakoenda. Chagua chaguo la usafiri wa uwanja wa ndege wa BNA linalokidhi mahitaji ya idadi ya wasafiri na mizigo yenu.

Fuata maelekezo hadi kwenye Ground Transportation Center

Utapata maelekezo kuhusu maeneo ya kuchukua wasafiri ya BNA moja kwa moja kwenye programu. Eneo la kuchukuliwa kwenye BNA liko katika Ghorofa ya 1 ya Ground Transportation Center. Tafuta ishara zilizoandikwa “Eneo la Kuchukuliwa kwenye Programu ya Safari.”

Kutana na dereva wako

Nenda kwenye eneo lako la kuchukuliwa la BNA kama ilivyobainishwa kwenye programu katika eneo la kwanza lililo kando ya barabara la Kituo cha Usafiri wa Ardhini kwenye Maeneo ya A1-B3. Tafadhali kumbuka: eneo hili huenda lisiwe kwenye lango la kutoka lililo karibu zaidi nawe. Jina la dereva wako, nambari ya leseni na rangi ya gari itaonyeshwa kwenye programu. Thibitisha gari lako kabla ya kuingia. Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

Ramani ya Uwanja wa Ndege wa Nashville Ramani

Uwanja wa Ndege wa Nashville una kumbi 4, huku kituo cha kimataifa kikiwa kwenye Ukumbi wa A.

Ramani ya Uwanja wa Ndege wa Nashville

Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana

  • Yes. Go to this list of airports around the world where you can request a ride with Uber.

  • The cost of an Uber trip to (or from) BNA depends on factors that include the type of ride you request, the estimated length and duration of the trip, tolls, and current demand for rides.

    You can see an estimate of the price before you request by going here and entering your pickup spot and destination. Then when you request a ride you’ll see your actual price in the app based on real-time factors.

  • Pickup locations may depend on the type of ride you request and the size of the airport. Follow the instructions in the app about where to meet your driver. You can also look for signs that point to designated airport rideshare zones.

    If you can’t find your driver, contact them through the app.

  • Msimbo wa uwanja wa ndege wa BNA ni ufupisho wa Berry Field Nashville.

Taarifa zaidi

  • Unaendesha gari ukitumia Uber?

    Kuanzia eneo la kuwachukua wasafiri hadi kufuata sheria na kanuni za mahali husika, fahamu jinsi ya kufanya safari zako za uwanja wa ndege ziwe bora zaidi.

  • Unaelekea uwanja tofauti wa ndege?

    Unaweza kushushwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 600 vya ndege kote ulimwenguni.

1/2

Maelezo kwaa wageni kwenye Uwanja wa Ndege wa Nashville

Kwa sasa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nashville unahudumia mashirika 20 ya ndege na una safari 575 za kuwasili na kuondoka kila siku. Uwanja wa Ndege wa Nashville, ndio lango la kuingia Tennessee, na ni mwendo wa dakika 15 kwa gari wakati hakuna foleni au vikwazo vingine barabarani kutoka katikati ya jiji la Nashville, ambalo ndilo jiji kuu la jimbo. Jiji lipo maili 9 (kilomita 14) kutoka katika uwanja wa ndege.

Vituo katika Uwanja wa Ndege wa Nashville

Uwanja wa Ndege wa BNA una kituo kikuu kinachoitwa Robert C.H. Mathews Jr. Kituo. Kituo kina kumbi 4, A mpaka D zikiwa na malango 44 kote. Unaweza kupanga safari yako ukitumia taarifa zilizo hapa chini.

Ukumbi wa A

  • Air Canada
  • Frontier
  • United

Ukumbi wa B

  • Alaska
  • Boutique Air
  • British Airways
  • Contour
  • Delta
  • JetBlue
  • Sun Country
  • WestJet

Ukumbi wa C

  • American
  • Kusini Magharibi

Kituo cha Kimataifa katika BNA

Uwanja wa Ndege wa BNA una safari za moja kwa moja kuelekea Bahamas, Kanada, Jamhuri ya Dominika, Jamaika na Meksiko, pamoja na safari ya moja kwa moja kwenda Heathrow, London. Maeneo ya kuondoka katika Uwanja wa Ndege wa Nashville yanapatikana katika Kumbi za A na B.

Kupata chakula katika Uwanja wa Ndege wa Nashville

Kuna zaidi ya maeneo 24 ya kupata mlo katika Kituo cha Mathews yanayouza vyakula na vinywaji mbalimbali, vikiwemo kahawa, sushi, vyakula vya kufungashiwa na sandwichi. Ukumbi wa maakuli katika Uwanja wa Ndege wa Nashville upo katika Ukumbi wa C, lakini kuna sehemu nyingine za kula katika kumbi zote.

Kusafiri katika Uwanja wa Ndege wa Nashville

Uwanja wa Ndege wa BNA una kituo kimoja kikuu cha wasafiri: Ikiwa unahitaji usaidizi wa ziada katika uwanja wa ndege, unaweza kuupata kwa kuwasiliana na shirika la ndege unalotumia.

Mambo ya kufanya katika Uwanja wa Ndege wa Nashville

Uwanja wa ndege wa BNA una maonesho ya sanaa ambayo huandaliwa na mpango wa sanaa katika Uwanja wa Ndege, na kuwashirikisha wasanii wa karibu, wa kikanda na wa kitaifa hivyo kuongeza uzuri katika uwanja wa ndege na kwa wageni wake. Hata hivyo sanaa katika BNA si maonesho ya kuona pekee. Kuna muziki ambao ni sehemu ya sanaa katika Nashville, na huandaliwa kila siku katika uwanja wa ndege.

Katika kumbi za B na C unaweza kupata sehemu ya kukandwa. Ukumbi wa C una saluni inayotoa huduma za kutunza kucha na nywele. Kuna maeneo 2 kwa ajili ya watoto kuchezea katika Ukumbi wa A na B.

Kubadilisha sarafu katika Uwanja wa Ndege wa Nashville

Huduma za kubadilisha fedha katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Nashville zinapatikana kati ya Ukumbi wa A na wa B na pia katika Kituo cha Wasafiri kilicho kati ya Ukumbi wa C na D.

Hoteli zilizo karibu na Uwanja wa Ndege wa Nashville

Iwe unasubiri ndege nyingine au ndege imechelewa usiku kucha, au kama unahitaji mahali pa kukaa karibu na BNA, kuna zaidi ya hoteli kadhaa na maeneo ya kukaa karibu.

Sehemu za kuvutia karibu na Uwanja wa Ndege wa Nashville

  • Bustani ya Cumberland
  • Maeneo ya muziki wa moja kwa moja karibu na Music Row na Lower Broadway
  • Jumba la makumbusho ya sanaa na historia katika Nashville

Pata maelezo zaidi kuhusu Uwanja wa Ndege wa Nashville hapa.

Facebook
Instagram
Twitter

Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za wahusika wengine ambazo hazidhibitiwi na Uber na zinazoweza kubadilishwa au kusasishwa kila baada ya kipindi fulani. Taarifa yoyote iliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo haihusiani moja kwa moja na Uber au uendeshaji wake ni kwa madhumuni ya kuarifu pekee na haifai kutegemewa au kufasiriwa au kuchambuliwa kwa namna inayoweka dhamana za aina yoyote, iwe zimeelezewa au kudokezewa, kuhusu taarifa iliyomo. Matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na mji. Uokoaji wa pesa kwenye ofa unatumika kwa watumiaji wapya pekee. Huwezi kutumia ofa hii pamoja na ofa nyinginezo na haiwezi kutumiwa katika bakshishi. Inapatikana kwa muda mfupi. Ofa na masharti yanaweza kubadilika.