Wasifu wa Familia
Unaweza kuwalipia uwapendao na ufuatilie hali ya safari na muda watakaowasili kwa urahisi ukiwaalika kwenye Wasifu wa Familia.
Wasifu wa Familia
Unaweza kuwalipia uwapendao na ufuatilie hali ya safari na muda watakaowasili kwa urahisi ukiwaalika kwenye Wasifu wa Familia.
Wasifu wa Familia
Unaweza kuwalipia uwapendao na ufuatilie hali ya safari na muda watakaowasili kwa urahisi ukiwaalika kwenye Wasifu wa Familia.
Umuhimu wake
Andikisha akaunti nyingi
Mlezi wa mtoto wako. Msaidizi wako. Binamu yako wa pili. Tunaziita Wasifu za Familia, lakini unaweza kumwongeza mtu yeyote unayetaka.
Weka maelezo ya kadi ya benki
Hata kama ndugu na marafiki zako wanaweza kutumia Wasifu za Familia kuwa mbinu yao ya malipo, hawataona maelezo ya kadi yako ya mteja.
Jinsi inavyofanya kazi kwa mratibu wa Wasifu wa Familia.
Ongeza anwani
Bonyeza ili ufungue App, nenda kwenye menyu, chagua Mipangilio, sogeza chini ili Uweke familia yako, na uchague majina mwafaka ambayo ungependa kuongeza. Baada ya kuweka msafiri atakayetumia Wasifu wa Familia, atapokea ombi la mwaliko.
Tafadhali kumbuka: unapaswa kuwa na toleo jipya la App hii ili uweze kutumia Wasifu wa Familia
Wawezeshe unaowapenda waite magari.
Mwalikwa anapokubali mwaliko, anaweza kuanza kuita gari kupitia simu yake kwa kutumia Wasifu wa Familia kama mbinu yake ya malipo.
Tozwa kiotomatiki
Gharama ya safari hii itatozwa kwenye Wasifu wa Familia, na mratibu atapokea stakabadhi kwa kila safari.
Jinsi inavyofanya kazi kwa msafiri wa Wasifu wa Familia
Kubali mwaliko wa Wasifu wa Familia
Fungua mwaliko wa Wasifu wa Familia uliotumwa kupitia barua pepe kisha ukubali.
Tafadhali kumbuka: unapaswa kuwa na toleo jipya la programu hii ili uweze kutumia Wasifu wa Familia
Ufanye kuwa njia yako chaguomsingi ya kulipa
Chagua Wasifu wa Familia iwe njia yako chaguomsingi ya kulipa.
Lipa kwa Kutumia Wasifu wa Familia
Ita gari kwa njia ya kawaida ukitumia Wasifu za Familia kuwa mbinu yako ya malipo.
Maswali yanayoulizwa sana
- Nitabadilisha njia ya malipo ninayotumia katika Wasifu wa Familia kwa njia gani?
- Nenda kwenye Mipangilio katika App.
- Sogeza chini kisha uchague Familia.
- Chini ya Mapendeleo, chaguaMalipo ya chaguomsingi.
- Unaweza kuchagua njia zilizopo za malipo au uweke njia nyingine ya malipo.
- Ninaweza kuondoka kwa njia gani kwenye Wasifu wa Familia?
Down Small - Chagua Mipangilio kwenye menyu ya programu yako.
- Sogeza chini hadi kwenye Wasifu kisha ubonyeze upau wa Wasifu wa Familia.
- Sogeza chini, gusa kitufe cha Ondoka kwenye Wasifu, na uthibitishe.
- NItamwondoaje ndugu?
Down Small - Chagua Mipangilio kwenye menyu ya programu yako.
- Sogeza chini hadi kwenye Wasifu kisha ubonyeze upau wa Wasifu wa Familia.
- Sogeza chini, kisha uguse ndugu unayetaka kumwondoa.
- ChaguaOndoa Ndugu na uthibitishe.
- Nitafuta Wasifu wa Familia kwa njia gani?
Down Small - Chagua Mipangilio kwenye menyu ya App yako.
- Sogeza chini hadi kwenye Wasifu kisha ubonyeze upau wa Wasifu wa Familia.
- Sogeza chini, bonyeza Futa Wasifu wa Familia, kisha uthibitishe.
Faidika zaidi kutokana na safari yako
Baada ya safari yako
Faidika zaidi kutokana na safari yako
Baada ya safari yako
Pakua App na uweke mipangilio ya akaunti yako ili uwe tayari wakati ujao utakapohitaji usafiri.
Waalike marafiki watumie Uber na watapata punguzo kwenye safari yao ya kwanza.
Aina za usafiri hubadilika kulingana na jiji na eneo lako.
Kuhusu
Chunguza
Viwanja vya Ndege