Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Rahisisha milo ya wafanyakazi ukitumia oda za kikundi

Rahisisha jinsi unavyopanga kupata vyakula kwa kuruhusu wafanyakazi binafsi kuweka vyakula wanavyotaka kwenye oda ya pamoja ya kikundi.

Ni rahisi kupanga chakula kwa ajili ya timu nzima

Fungua akaunti ya Uber for Business

Hailipishwi na ni rahisi kujisajili. Anza hapa.

Weka sera za mlo kwa wafanyakazi wako

Anzisha mpango wako mwenyewe kwa kuamua maelezo kama vile maeneo ya kusafirisha chakula, mara ambazo chakula kitaletwa na zaidi.

Anzisha oda ya kikundi

Mwanachama yeyote wa timu aliyeunganishwa kwa sera yako ya mlo anaweza kuanzisha oda kwenye UberEats.com au kupitia programu ya simu ya Uber Eats.

Weka wanachama wa timu kwenye oda ya kikundi

Tuma kiungo maalum, ambapo kila mfanyakazi anaweza kuvinjari menyu na kuchagua chakula chake.

Agiza

Baada ya kila mtu kuweka chakula chake, msimamizi wa timu anatuma kwenye mgahawa.

Kusafirisha na kumaliza

Mtu yeyote aliye katika oda ya kikundi anaweza kufuatilia oda za kikundi mtandaoni au kwenye App.

"Uber for Business imetusaidia kupunguza gharama za chakula kwa ajili ya mauzo yetu, huku ikisaidia migahawa ya karibu."

Angelina Elhassan, Mkurugenzi wa Matukio na Utangazaji Nje ya Ofisi, Samsara

Fanya uagizaji wa kikundi hali itakayofurahisha kila mtu

Wafanyakazi huchagua chakula wanachopenda

Kwa kutumia uagizaji wa kikundi, wafanyakazi huchagua vyakula wanavyotaka, vilivyopikwa kwa ladha zao mahususi. Kufanya hivyo huokoa muda na kuhakikisha kuridhika kwao.

Tunaupa usalama kipaumbele kila wakati

Kila mlo hufungashwa kwa usafi na upya. Hali hii inamaanisha hamna oda zinazopelekwa mahali ambapo hazitakikani.

Ya bei nafuu kwa ajili ya biashara yako

Okoa pesa za kulipia ada kwa kujumuisha vyakula vya wafanyakazi katika usafirishaji mmoja na uweke vikomo vya uagizaji wa kikundi vinavyolingana na sera zako.

Vipengele vya kina hurahisisha uagizaji wa kikundi

Agiza mapema

Unapanga mapema? Unaweza kuratibu oda za kikundi mapema ili uhakikishe kila mtu ana fursa ya kutuma chakula chake.

Kiwango cha juu cha matumizi kwa kila mtu

Dhibiti gharama na uwarahisishie wafanyakazi kujua kinachokubalika kuagiza kwa kuweka vikomo vya matumizi kwa mtu binafsi. Sahau malipo na gharama zisizotarajiwa.

Una wafanyakazi wa kulisha. Tuko hapa kukusaidia.

  • Unaweza kufuata hatua hizi:

    1. Nenda kwenye ubereats.com, chagua mgahawa, kisha ubofye kitufe cha Oda za kikundi.

    2. Waalike wafanyakazi wako waagize kwa kuwatumia kiungo cha oda za kikundi. Wanaweza kufanya iwe mahususi, nawe unaweza kutumia jinsi unavyotaka.

    3. Lipia na ufuatilie usafirishaji wa bidhaa.

    4. Furahia mlo wako!

  • Kwa kutumia oda za kikundi za Uber kwa ajili ya wanaofanya kazi wakiwa mbali, biashara zinaweza kuunda fursa kwa ajili ya wanatimu kuungana, kushiriki uzoefu na kukuza hali ya urafiki ambayo hutafsiriwa kuwa timu pepe iliyo imara na yenye mshikamano zaidi.

  • Oda za kikundi zinaweza kulipwa na mtu mmoja au kila mtu katika oda ya kikundi anaweza kujilipia. Unaweza kuweka kikomo cha matumizi kwa kila mtu katika oda ya kikundi.

  • Unapotumia oda za kikundi za Uber, ada za kawaida zinazohusiana na huduma zitatozwa. Tunapendekeza uangalie programu ya Uber Eats ili upate taarifa sahihi na iliyosasishwa kuhusu ada hizi wakati wa kuagiza.

  • Ukubwa wa oda za kikundi za Uber Eats hutofautiana kulingana na ukubwa wa mgahawa, uwezo na chakula kinachopatikana. Baadhi ya migahawa mikubwa au inayozingatia matukio inaweza kushughulikia oda za hadi watu 100, lakini idadi hii inaweza kubadilika kulingana na mambo mbalimbali kama vile uwezo wa kuandaa chakula na uchangamano wa chakula.

  • Wafanyakazi wanaweza kuchagua kile wanachotaka kula, jambo ambalo linaweza kupunguza utupaji wa chakula. Kampuni pia zinaweza kuweka kikomo cha matumizi kwa kila mtu ili kuhakikisha kwamba wafanyakazi wanatumia pesa kulingana na bajeti.

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili