Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Mshirika wa biashara anayejivunia kila mahali

Pata maelezo kuhusu jinsi kampuni katika sekta zote zinavyotatua changamoto zao ngumu kwenye Uber for Business.

Masimulizi maarufu zaidi ya wateja

  • Samsung huwasaidia wateja wa eneo lako kuendeleza biashara za nchini kupitia ofa maarufu za Uber Eats.

  • Coca-Cola huongeza motisha ya wafanyakazi kupitia kadi za zawadi za Uber.

  • Zoom inasafirisha idadi ya wafanyakazi inayozidi kuongezeka duniani kote kwa kutumia Uber for Business.

1/3

Safari za kikazi

Perficient inarahisisha safari za kikazi kwa kujumuisha Uber na SAP Concur.

Zoom inasafirisha idadi ya wafanyakazi inayozidi kuongezeka duniani kote kwa kutumia Uber for Business.

Dell anashirikiana kikamilifu na wahudumu wa usafiri ili kuendeleza ufanisi wa kiutendaji.

Milo

Shopify huwalipia wateja na wanaotafuta kazi kwa kuwapa vyakula kupitia Uber Eats.

Coca-Cola huongeza motisha ya wafanyakazi kwa kuwapa kadi za zawadi za Uber.

Golden State Warriors inatumia Uber for Business ili kuendelea kuwasiliana na mashabiki na washirika.

GoodRx hutumia Uber Eats kusaidia wateja na biashara nchini.

Talkable husaidia kupunguza gharama za vyakula kwa wanaofanyia kazi nyumbani.

Samsara hufanya matukio pepe kuwa maalum kwa kutumia Vocha za Uber Eats.

Safari za bila malipo

Ryder imekamilisha safari 100,000 kwa kuunganisha API ya Uber.

Honda Auto Center of Bellevue huokoa asilimia 47 kwa kutumia Uber badala ya mabasi.

Hoteli za Zenique zinatumia Uber badala ya mabasi kwenye uwanja wa ndege na kuokoa 30%.

Twenty Four Seven Hotela inawazia kutumia Uber badala ya mabasi.

Mipango ya vocha

Tunashirikiana na Progressive ili kuwasaidia wanaotuma huduma za dharura, wataalamu wa matibabu na waendeshaji wa malori.

Samsung huwasaidia wateja wa eneo lako kuendeleza biashara za nchini kupitia ofa maarufu za Uber Eats.

Shopify huwalipia wateja na wanaotafuta kazi kwa kuwapa vyakula kupitia Uber Eats.

TGI Fridays inaboresha hali ya kula kwenye mgahawa ili kuvutia wateja zaidi badala ya kusafirishiwa chakula.

Golden State Warriors inatumia Uber for Business ili kuendelea kuwasiliana na mashabiki na washirika.

MGM Resorts inashirikiana na Uber ili kutoa vocha za safari za wageni kwenye maonyesho yake ya kiwango cha kimataifa.

Westfield inawapa wateja vocha za usafiri wa Uber kama motosha na zawadi.

AutoGuru inaboresha huduma za matengenezo ya magari kwa wateja na mekanika kupitia safari bila malipo.

Mipango ya usafiri

Wafanyakazi wa Eataly husafiri kwenda kazini kwa Uber.

NYSE hubuni mpango wa usafiri kwa wafanyakazi ili kuboresha motisha na tija kwa jumla.

Timu za PayActiv hushirikiana na Uber kutoa usafiri kwa wafanyakazi wa shughuli muhimu.

Maimonides Medical Center huwasaidia wafanyakazi kufika kazini na kusafiri kati ya vituo kupitia Uber.

Wahudumu wa Adventist HealthCare husafiri kwenda hospitali na kutoa huduma za matibabu nyumbani kwa kutumia Uber.

Huduma zaidi

Boston Medical Center inaboresha usafiri wa wagonjwa katika idara nyingi.

Adams Clinical inarahisisha njia ya kushiriki kwenye majaribio ya kimatibabu.

MedStar inaboresha huduma za matibabu kwa kutoa usafiri wa kuaminika ili kuhudhuria miadi.

Kliniki ya Boston Medical Center ya kushughulikia anemia hupunguza ada ya kutohudhuria matibabu.

Pana inasafirisha wateja bora kote ulimwenguni kupitia ujumuishaji wa Uber API.

LaneOne hubuni huduma ya kipekee katika matukio kwenye Uber.

CBRE inashirikiana na Uber for Business ili kurahisisha huduma ya usafiri wa watu na chakula katika sekta ya biashara ya kuuza nyumba na mashamba.

Boston Properties hutoa huduma bora zaidi kwa wateja.

Valo Park hutegemea Uber katika usafiri.

Little Brothers – Friends of the Elderly walifanya kazi na Uber Health ili kusaidia kubuni mpango wa usafiri kwa wazee.

Uber Health imepanua huduma kwa kujumuisha usafirishaji wa dawa.

1-800-GOT-JUNK inawashukuru wafanyakazi kupitia kadi za zawadi za Uber.

DRAIVER huungana na Uber na kutumia API kuokoa asilimia 30*.

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili