Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Panga safari kwa ajili ya wateja, wageni na wafanyakazi

Ikiwa inapatikana ulimwenguni kote, Central huwaruhusu watumiaji wa Uber for Business kutumia mtandao mkubwa zaidi wa usafiri ulimwenguni kuomba safari kwa ajili ya mtu yeyote, hata ikiwa hana programu ya Uber.

Angalia kinachowezekana

Inafaa kwa wateja, ni bora zaidi kwa biashara

Boresha gharama

Okoa pesa kwa kulipia tu safari zilizofanywa na ufuatilie matumizi kwenye dashibodi yako.

Boresha huduma kwa wateja

Ratibu safari kwa ajili ya wateja wako. Omba safari za starehe au uweke nafasi ya safari kila baada ya saa.

Ongeza ufanisi wa utendaji

Ratibu safari zinazorudiwarudiwa au omba safari hiyohiyo kwa urahisi kupitia dashibodi kuu.

Punguza utegemezi wako kwa magari ya kuazima

Punguza utumiaji wa gari la kuazima na basi, pamoja na ada zinazoambatana nazo.

Fuatilia safari kwenye dashibodi kuu

Pata mwonekano wa hali ya safari zinazoendelea na zinazofuata katika sehemu moja.

Wajali wafanyakazi wako

Wasafirishe wafanyakazi wako hadi mahali wanakohitaji kwenda na udumishe mwonekano katika matumizi.

Hivi ndivyo inavyofanya kazi

1/3

Vipengele vinavyoweza kufanywa viwe mahususi kwa ajili ya biashara yako

  • Safari za kwenda pekee au za kwenda na kurudi

    Panga safari ya kwenda pekee au ufanye iwe safari ya kwenda na kurudi.

  • Safari zilizoratibiwa

    Ratibu safari hadi siku 30 mapema kwa urahisi.

  • Safari zinazoweza kubadilika

    Mruhusu msafiri wako achague wakati hususa wa safari yake.

  • Chaguo la aina za magari

    Aina za safari zinazopatikana ni pamoja na UberX, Uber Green, UberXL, Uber Black na kadhalika.*

  • Memo na ujumbe kwa dereva

    Weka memo ya ndani au ujumbe kwa dereva ulio na maelekezo yoyote maalumu.

  • Malipo na kuripoti bila usumbufu

    Pakua ripoti za data ya usafiri na upate mwonekano katika matumizi na taarifa za kila mwezi.

1/6

Endeleza biashara, haijalishi uko kwenye tasnia gani

  • Kagua na ukarabati magari

    Wape usafiri kwenda nyumbani wateja walioacha gari lao ili likaguliwe au kufanyiwa matengenezo kwa mtengenezaji au katika duka la muuzaji.

  • Njia mbadala kupata gari wakati lako linarekebishwa

    Weka chaguo la usafiri wa pamoja kwenye msururu wako wa magari ya kuazima na mabasi ili kusaidia kupunguza muda wa kusubiri na matatizo ya upatikanaji.

  • Usafiri kwa ajili ya gari jipya

    Wape wafanyakazi safari iliyopangwa ya kurudi kwenye duka la muuzaji baada ya kuacha gari jipya kwenye nyumba ya mteja.

  • Usafirishaji wa vipuri

    Tumia Central kupanga kuchukua na kushusha sehemu mahususi za gari ili kukamilisha ukarabati kwa wakati unaofaa zaidi.

1/4

Honda Auto Center of Bellevue iliokoa 47% kwa kuanza kutumia Uber badala ya mabasi ya kazini.

Panga na ufuatilie safari kwa kiwango

Maswali yanayoulizwa sana

  • Waratibu wanaweza kumtumia dereva ujumbe wa moja kwa moja kwa kuchagua Anwani kwenye safari. Wasafiri walio na programu wanaweza kutuma ujumbe wa moja kwa moja kwa dereva ndani ya kipengele chao cha gumzo.

  • Hapana, safari za Central zinalipiwa na mashirika yanayoomba safari hizi, kwa hivyo watumiaji wageni hawahitaji kulipa au kutoa bakshishi kwa madereva wanaposafiri.

  • Baada ya kila safari, unaweza kwenda kwenye sehemu ya “Safari za zamani” kwenye dashibodi kisha ubofye Omba Usaidizi ili uandike barua pepe kiotomatiki kwa timu yetu ya Usaidizi kwa Wateja. Wasafiri walio na programu wanaweza kuwasiliana na Kitengo cha Usaidizi kwa Wateja moja kwa moja ndani ya programu.

*Aina za safari kwenye ukurasa huu ni sampuli ya huduma zinazopatikana kwenye Uber na zinaweza kutofautiana kulingana na eneo. Huenda baadhi zisipatikane mahali ambapo wafanyakazi au wateja wako wanatumia programu ya Uber.

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili