Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi
Huenda bidhaa hii isipatikane katika nchi yako

Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali angalia tena, kwa sababu upatikanaji wa bidhaa unaweza kubadilika.

X small

Mfumo unaopendwa na wafanyakazi kazini

Wafanyakazi huokoa muda wanaposafiri au kuagiza vyakula kwenye Uber for Business.

Kwa nini wafanyakazi wanatupenda

Ni rahisi kuwaunganisha wafanyakazi kwenye akaunti ya kampuni yako

1/3

"Kwa kuzingatia muda ambao baadhi ya wafanyakazi wetu hutumia barabarani, Uber huokoa muda na usumbufu mwingi."

Mattie Yallaly, Msimamizi wa Usafiri na Gharama, Perficient

Maswali yaulizwayo mara kwa mara

  • Baada ya kuwaalika wafanyakazi wako kujiunga na akaunti ya kampuni yako, watapokea ujumbe kwenye barua pepe yao ambao utawaelekeza katika hatua ya kufungua wasifu wa kazini.

  • Wafanyakazi wanaweza pia kufungua wasifu wa kazini katika sehemu ya Wallet kwenye App ya Uber au sehemu ya Mapendeleo ya Kazi katika App ya Uber Eats ili kupata manufaa ya kutenganisha miamala ya kazini na ya kibinafsi.

  • Kwa sasa, mfumo wetu umeunganishwa na Certify, Chrome River, Expensify, Expensya, Fraedom, Happyay, Rydoo, SAP Concur, Serko, Zeno na Zoho Expense.

  • Programu ya Uber inapatikana katika zaidi ya nchi 70 kwenye mabara 6. Ili kupata orodha kamili, nenda hapa. Ili uone iwapo Uber Eats inapatikana mahali unapoishi au kusafiri, bofya hapa.

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili