Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi
Baadhi ya bidhaa zinazorejelewa kwenye ukurasa huu huenda zisipatikane katika nchi yako

Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali angalia tena, kwa sababu upatikanaji wa bidhaa unaweza kubadilika.

X small

Tovuti iliyobuniwa ili kuendeleza huduma za serikali

Mashirika ya serikali hutegemea Uber ili kusafirisha na kuwaletea chakula wafanyakazi wao na wakazi.

Jinsi mashirika ya serikali yanavyotumia tovuti yetu

 • Safari za wafanyakazi

  Kuanzia safari za uwanja wa ndege hadi mikutano katika sehemu mbalimbali za mji, tunafanya iwe rahisi kuweka ruhusa na kufuatilia matumizi.

 • Kusafirisha hati

  Tumia Uber ili ikusaidie kutuma na kupokea hati halisi na mikataba muhimu.

 • Kusafirisha chakula

  Iwe uko ofisini au mtaani, Uber Eats huwasaidia wafanyakazi wapate milo na kuisafirisha hadi mahali walipo.

 • Kubadilisha magari

  Ni rahisi kusafiri mjini wakati unaweza kuomba safari ukitumia Uber. Punguza gharama za msururu wa magari na uendelee kuchapa kazi.

1/4

Jinsi Uber inavyosaidia shirika lako

 • Usalama umepewa kipaumbele

  Uber imeupa usalama kipaumbele. Vipengele vyetu vinasaidia kuwalinda wasafiri na madereva, kwa hivyo unaweza kuwa na utulivu wa akili.

 • Upatikanaji kote ulimwenguni

  Programu hii inapatikana katika zaidi ya nchi 70 na miji 10,000, hivyo kufanya iwe rahisi kuomba safari na kuagiza milo kote ulimwenguni.

 • Kulipia gharama kwa urahisi

  Uber for Business hutoa huduma kwa kujumuisha SAP Concur na watoa huduma wengine. Huhitaji kurejeshewa pesa au kupata idhini ya msimamizi.

 • Usaidizi mahususi

  Usaidizi kwa wateja wa Uber mtandaoni hupatikana saa 24. Kwa hivyo, ikiwa una maswali yoyote au unahitaji msaada wa kutatua tatizo, wasiliana nasi.

1/4

Shirika lako linazidi kuimarika. Tuko hapa kukusaidia.

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili