Ruka uende katika maudhui ya msingi

Ujumuishaji Mahiri.
Gharama Zisizo za Kutatiza.


Wezesha ufuatiliaji wa gharama zako uwe wa kiotomatikia, tekeleza sera ya kampuni na uokoe saa za kuingiza taarifa kwa mkono—unafanya yote hayo kwa kuunganisha kwa mtoa huduma wako wa gharama unayempenda.

Imeunganishwa na mfumo maarufu wa malipo ulimwenguni

Washirika waliopendekezwa

Faida za kuunganisha mfumo wa malipo unaopenda.

Michakato otomatiki ya kulipa

Risiti za safari na vyakula vya wafanyakazi zitawekwa moja kwa moja kwenye dashibodi ya mfumo wa malipo. Okoa muda wa kufuatilia risiti.

Utaratibu rahisi wa kuzingatia sera

Utakuwa na chaguo la kuwaelekeza wafanyakazi wachague msimbo wa gharama kwenye orodha kabla ya kuitisha usafiri au chakula.

Mchakato rahisi wa kusajili wafanyakazi

Weka wafanyakazi wapya kwenye akaunti yako ya Uber for Business kiotomatiki kwa kusawazisha na orodha ya wafanyakazi katika mfumo wa malipo.

Dhibiti gharama na uweke ruhusa kwenye dashibodi yetu

Pata maelezo kuhusu jinsi dashibodi yetu inavyosaidia biashara kutekeleza malipo, kusimamia faida za akaunti, kuchanganua matumizi ya mpango na zaidi—haya yote kwenye dashibodi kuu.

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.

Chagua lugha ambayo unapendelea

Kiingereza, EnglishKiswahili, Kiswahili

Chagua lugha ambayo unapendelea

Kiingereza, EnglishKiswahili, Kiswahili