Kituo cha Masomo
Kuanzia miongozo hadi mikutano ya mtandaoni, pata kila kitu unachohitaji ili unufaike zaidi kwenye Uber for Business.
Nyenzo maarufu zaidi
Kuongeza motisha kwa kuwapelekea chakula
Gundua jinsi kuwapatia wafanyakazi, wateja na watu wengine vyakula kunavyoweza kukusaidia na kuboresha mambo.
Kuboresha safari za kila siku
Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuondoa changamoto za safari za kila siku ili kuongeza tija na kujali, huku ukiupa usalama wa wafanyakazi kipaumbele.
Kituo cha Usaidizi | Uber for Business
Pata maelezo ya hatua kwa hatua yatakayokusaidia' kunufaika zaidi unapotumia Uber for Business.
Kutana na biashara zinazoimarika kupitia mfumo wetu
Angalia jinsi biashara kubwa na ndogo zinavyotumia mfumo wetu wa kimataifa kwa usimamizi wa safari za kampuni, vyakula na usafirishaji wa nchini.
Vitabu pepe
Kuboresha safari za kila siku
Kadri biashara zinapoanza kufunguka, wafanye wafanyakazi wako wapate starehe kwa kuwapa njia mbadala ya safari zao za kawaida.
Kuongeza motisha kwa kuwapelekea chakula
Gundua jinsi kuwapatia wafanyakazi, wateja na watu wengine vyakula kunavyoweza kukusaidia na kuongeza ushirikiano.
Njia 9 za kusaidia kuongeza idadi ya watakaohudhuria hafla yako mtandaoni
Matukio yamebadilika kutoka ana kwa ana na kuwa pepe, lakini hiyo haimaanishi kuwa huwezi kuandaa tukio la kukumbukwa. Hizi ndizo njia 9 ambazo Uber for Business inaweza kusaidia.
Kuwavutia wateja na wafanyakazi kwa kutumia Vocha
Mikakati 5 ya kufungua upya ofisi zetu
Pata maelezo kuhusu jinsi Makamu wa Rais wa Kimataifa kutoka Uber wa Masuala ya Kazi na Nyumba, Michael Huaco anafikiria kuhusu njia za kuwarejesha wafanyakazi ofisini.
Mustakabali wa usimamizi wa safari
Soma kitabu hiki pepe ili ujue ni kwa nini wasimamizi wa usafiri wanatakiwa kutarajia na kukubali mabadiliko ili kuwa na uhakika wa kazi watakazofanya.
Mawazo ya wasafiri wa biashara
Pata maarifa yaliyofanyiwa utafiti kupitia safari na mawazo ya wasafiri wa biashara, kuanzia kupanga safari zao hadi kuwasilisha gharama zao.
Mwongozo wa kuanza na usalama
Mwongozo wa usalama
Mwongozo huu umebuniwa kukupa maelezo ya kina kuhusu hatua tulizoanzisha ili kuwasaidia wasafiri na madereva kuwa salama kwenye mfumo wetu.
Muhtasari wa usalama
Soma kuhusu Utaratibu Wetu wa Usalama Unapotoka Sehemu Moja hadi Nyingine ili uone jinsi teknolojia na mwongozo wetu unavyoweza kusaidia kuhakikisha kuwa wasafiri wanahisi salama kwa kutumia Uber.
Kuanza kwa wasimamizi: usafiri na vyakula
Je, ungependa kuanzisha mipango ya usafiri na chakula kwa wafanyakazi wako? Fuata mwongozo wa hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kujisajili ili uendelee.
Mwongozo wa wasimamizi: safari za wageni
Uko tayari kuelewa jinsi ya kupanga na kuanzisha mipango ya usafiri kwa wateja na wageni wako? Anza sasa kwa kufuata hatua chache rahisi.
Mwongozo wa waratibu: safari za wageni
Je, ungependa kupata maelezo kuhusu jinsi ya kuendeleza shirika lako kupitia Central? Fuata hatua zilizo hapa ili uanze kuitisha usafiri kwa niaba ya wengine.
Muhtasari wa bidhaa na vipengee
Uber for Business
Soma muhtasari wa mwongozo wetu ili uelewe vizuri njia unazoweza kutumia Uber for Business.
Kuwazia upya safari na vyakula vya ofisini
Wasaidie wafanyakazi wako kwa kuwapa mipango ya usafiri na chakula.
Kusafirisha chakula kupitia Uber for Business
Pata maelezo kuhusu jinsi mipango ya kusafirisha chakula kupitia Uber for Business inavyoruhusu wafanyakazi wako kufurahia chakula kitamu popote wanapofanyia kazi.
Vocha za safari
Lipia gharama za safari ukitumia Vocha ili kuwarahisishia wateja wako kufika wanakoenda.
Vocha za Uber Eats
Toa chaguo za chakula kulingana na mahitaji yako, na uwaletee wateja, wageni au wafanyakazi wako vyakula bora vya Uber Eats.
Safari za kikazi
Rahisishia wafanyakazi wako safari za kikazi huku ukiboresha usimamizi na umaarufu.
Kadi za zawadi
Toa zawadi ya burudani, furaha na chakula. Kadi moja ya zawadi huwapa wafanyakazi au wateja fursa ya kusafiri na kula.
Amex Corporate Card na Uber Rewards
Pokea pointi zaidi unapotumia American Express Corporate Card, Uber Rewards na wasifu wako wa kazini.
Waitishie wengine usafiri
Boresha huduma ya wateja wako katika biashara kwa kuitisha usafiri kwenye Uber ili uwafikishe wanapotaka kwenda.
Uber Direct kwa muhtasari wa magari
Wafanyabiashara wanaweza kuongeza mauzo ya vipuri kwa kutumia Uber Direct, mfumo wa bei nafuu na usafirishaji wa bidhaa unapohitaji.
Matukio na mikutano ya mtandaoni
Kuboresha safari za kila siku
Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuondoa changamoto za safari za kila siku ili kuongeza tija na kujali, huku ukiupa usalama wa wafanyakazi kipaumbele.
Ongeza motisha ya wafanyakazi na wateja kwa kuwapelekea chakula
Gundua jinsi hatua ya kuwapa wafanyakazi, wateja na watu wengine vyakula, inavyoweza kuboresha motisha na ustawi wao kwa ujumla.
Kufafanua upya sera za usafiri wakati wa janga ulimwenguni
Jisajili kwenye mkutano wa mtandaoni ili upate maelezo kuhusu jinsi ya kukabili athari za janga kwenye usafiri wa biashara yako.
Ryder iliboresha huduma kwa wateja
Pata ushauri kutoka kwa Rich Mohr, CTO wa Ryder Fleet Management Solutions, kuhusu jinsi walivyoongeza kiwango cha kuridhika kwa wateja kupitia Uber.
Vipengele vipya vya usalama kutoka Uber
Katika kikao, utajifunza kuhusu utambuzi wa ajali kiotomatiki katika Ukaguzi wa Gari na vipengele vingine vipya vya usalama kwa wasafiri na madereva.
Kusawazisha huduma na kufuata masharti katika safari za kikazi
Mkuu wa Kimataifa wa Usafiri na Gharama kutoka Uber na Meneja wa Ushirika wa Biashara na Usafiri wa Jimbo la California wanawazia safari za kikazi zinazosimamiwa.
Kuelewa mawazo ya wasafiri wa biashara
Kipindi hiki maalum na timu ya utafiti wa huduma kwa watumiaji wa Uber huchunguza mawazo ya wasafiri wanapoelekea kazini.
Kuifahamu dashibodi ya Uber for Business
Tazama mkutano huu wa mtandaoni ili upate maelezo ya kina kuhusu kila kitu unachohitaji kujua kuhusu dashibodi yetu. Unaongozwa na msimamizi wa bidhaa wa Uber for Business.
Kushirikiana na wahudumu wako wa usafiri
Pata maelezo zaidi kuhusu kushirikiana na wahudumu wa usafiri na kuathiri ubora wa bidhaa kutoka kwa Meneja Mkuu wa Dell Global Travel, Beth Clicquennoi-Mansure.
Vocha: kulipia gharama ya usafiri
Sikiliza ili upate maelezo kuhusu jinsi biashara yako inaweza kuanza kutumia Vocha ili kulipia gharama za usafiri kupitia Uber, kwa wateja, wateja watarajiwa na wageni wako.
Mada zinazovuma
Wape wafanyakazi wa mbali manufaa ya kuwasafirishia chakula
Pata maelezo kuhusu jinsi biashara zinavyosaidia timu pepe kwa kutoa manufaa ya vyakula kwa bei nafuu ambazo huzidisha motisha na tija.
Rahisisha mlo wa wafanyakazi kwa kutumia oda za kikundi
Okoa kwenye gharama za usafirishaji na uboreshe utaratibu wa vyakula vya wafanyakazi kwa kuwaruhusu wafanyakazi wenyewe waagize vyakula vyao kwenye oda za kikundi.
Panga vyakula vya wote walio ofisini
Lisha wafanyakazi vizuri na uonyeshe wateja kuwa unawajali kwa kutumia oda za kikundi au kibinafsi kuwa njia rahisi badala ya maandalizi ya zamani.
Blog
Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.
Muhtasari
Kutuhusu
Huduma
Huduma
Kulingana na matumizi
Kulingana na tasnia
Usaidizi kwa wateja
Usaidizi
Nyenzo
Pata maelezo