Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali angalia tena, kwa sababu upatikanaji wa bidhaa unaweza kubadilika.
Safari na vyakula kwa ajili ya matukio
Boresha mahudhurio na ufanye tukio lako likumbukwe kwa kutumia mipango maalum ya safari na chakula. Inafaa kwa matukio ya ana kwa ana au ya mtandaoni.
Njia ambazo mfumo wetu unaweza kusaidia kufanikisha tukio lako
Ongeza mahudhurio kwa kutumia ofa
Vocha zinaweza kufanikisha juhudi zako za mauzo na kuwashirikisha wanaohudhuria tukio kwa kuletewa vyakula bila malipo popote walipo.
Tuma ujumbe maalum wa kuwashukuru
Washukuru wageni wakuu au wawasilishaji kwa kutumia kadi ya zawadi ya Uber wanayoweza kutumia kuletewa vyakula vitamu.
Wape waliohudhuria motisha ya kutoa maoni
Boresha viwango vya majibu ya kuridhishwa na matukio na ushirikiano kwa motisha ya Uber Cash.
Wasafirishe wanaohudhuria tukio lako
Ukilipia usafiri, utapata wateja. Lipia kiasi cha usafiri wa kwenda na kutoka kwenye tukio lako. Unalipia tu safari wanazokwenda.
Waagizie wageni au wafanyakazi chakula
Usiache wafanyakazi wako wakiwa na njaa. Agiza chakula anachopenda kila mtu kwenye Uber Eats.
Waitishie VIP usafiri
Usafiri wa kutoka sehemu moja hadi nyingine bila malipo ni njia bora ya kuwapa watendaji na wageni manufaa.
Unapanga tukio kubwa?
Je, unataka kulipia kiasi cha nauli au vyakula katika tukio linalohudhuriwa na maelfu ya watu? Timu yetu iko tayari kusaidia kuhakikisha kuwa tukio lako linafanikiwa.
"Kutoa vocha za Uber Eats katika tukio letu la mwisho kuliboresha sana huduma yetu."
Deb Hopkins , Mwanzilishi, Causeway 305, mshirika wa Shopify
Fanya tukio lako liwe la kukumbukwa
Gundua mengi zaidi kuhusu Uber for Business
Muhtasari
Kutuhusu
Huduma
Huduma
Kulingana na matumizi
Kulingana na tasnia
Usaidizi kwa wateja
Usaidizi
Nyenzo
Pata maelezo