Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Rahisisha safari za kikazi

Simamia mpango wako wa usafiri kupitia sheria zinazoweza kubadilika na ripoti zilizoboreshwa unazohitaji. Tovuti yetu inawapa wasafiri wa kampuni uwezo wa kupata safari, milo ya kusafirishwa, machaguo ya kutunza mazingira na kulipia gharama kwa urahisi katika zaidi ya nchi 70, ili uweze kuendelea kusafiri.

Unasafiri na una udhibiti kote ulimwenguni

Wape wafanyakazi huduma ya kiwango cha juu

Toa ufikiaji wa safari na milo kote ulimwenguni, pamoja na zawadi nzuri kwa wafanyakazi wako; hayo yote kwa kubofya kitufe.

Fanya hayo yote kwenye dashibodi kuu

Boresha mpango wako wa usafiri kupitia udhibiti, uonekanaji na uunganishaji bora unaoweza kubadilika kwa kutumia mifumo maarufu.

Timiza malengo yako ya uendelevu

Kuanzia kwa magari ambayo yanatunza mazingira hadi ripoti ya uendelevu, tunatoa uwezo wa kufuatilia, kuripoti na kupunguza uzalishaji wao wa hewa ya ukaa kwenye safari za barabarani. Jiunge nasi katika jitihada za kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa.

Jinsi inavyofanya kazi

Dashibodi ndiyo sehemu ambapo mambo yote hufanyika. Ni kituo chako kikuu cha kufikia na kufanya mipango ya usafiri, milo na kadhalika iwe mahususi. Unaweza hata kupata ripoti za wakati halisi na kufuatilia taarifa za hivi karibuni.

Jiwekee vipimo

Weka vikomo vya safari na milo kulingana na siku, wakati, eneo na bajeti. Pia unaweza kuwaruhusu wafanyakazi wako walipe kwa kutumia akaunti moja ya kampuni au kadi zao binafsi.

Waalike wafanyakazi wanaostahiki

Wasajili wafanyakazi wako kwa kuwaalika wajiunge kwenye wasifu wa kampuni. Ili iwe rahisi, wafanyakazi wanaweza kuunganisha wasifu wao binafsi na wasifu wa kampuni kupitia barua pepe au ujumbe wa maandishi.

Anza safari

Wafanyakazi wanaweza kuanza kufurahia safari na kufikishiwa milo wanayopenda huku ukisimamia hayo yote kwenye dashibodi.

Fuatilia gharama

Sahau kuhusu kuhifadhi stakabadhi. Weka kila safari na mlo kiotomatiki kwenye mifumo ya kulipa inayoweza kukaguliwa kila wiki au kila mwezi kwa ajili ya ufuatiliaji rahisi wa bajeti.

Watoa huduma tunaoshirikiana nao

Ili kuokoa muda na kuboresha kuridhika kwa wafanyakazi, tumeshirikiana na watoa huduma maarufu wa uunganishaji, ikiwa ni pamoja na hawa:

Tuma maelezo ya safari pamoja na picha ya stakabadhi moja kwa moja kutoka kwenye wasifu wako wa Uber for Business kwa kutumia uunganishaji wa Chrome River.

Ikiwa inapatikana katika zaidi ya nchi 70, unaweza kuunganisha Uber for Business na SAP Concur.

"Wafanyakazi wetu wanaweza kuendelea kufanya kazi badala ya kujaribu kusafiri katika jiji wasilofahamu kwa gari la kukodisha."

Mattie Yallaly, Travel and Expense Manager, Perficient

Tumia Uber for Business kusafiri

Nyenzo za kuendeleza biashara yako

Uupe kipaumbele ustawi wa wasafiri wa kampuni

Waridhishe wasafiri wa kikazi barabarani kwa kutumia vidokezi hivi 4 ili kuupa kipaumbele ustawi wa wasafiri.

Msaada wa kurudi ofisini

Zaidi ya mashirika 170,000 yanatumia Uber for Business kuwasafirisha wafanyakazi wake vyema na kwa starehe wanaporudi kazini.

Maoni ya wataalamu wa Uber kuhusu uendelevu katika biashara

Uongozi wa uendelevu wa kimataifa wa Uber unajadili njia ya kampuni ya kutozalisha hewa ya ukaa na jinsi biashara zinavyoweza kupima mafanikio ya juhudi zake za kutunza mazingira.

  • Uber offers visibility, flexibility, and convenience. Travelers can get the cost of the ride before they request. Once they're ready, they can request with just a few taps. The company admin can see all rides that a business traveler takes on an organization's account so that they can understand usage and spending. Uber also offers built-in safety features, including GPS tracking, to provide peace of mind to business travelers.

  • Uber for Business has partnered with leading expense providers to help companies save time and improve employee satisfaction. We have also integrated with Deem's business travel app, Etta, to simplify the ground transportation booking process for travelers.

  • Uber for Business is currently available in more 70 countries and is continually expanding. To confirm if Uber for Business is available in your country, please see if you can access Business Hub in the Account section of the Uber app.

  • With Uber for Business, billing and invoicing are flexible and can be tailored to your needs. Your team members can either charge their trips to a central company account or use their personal or corporate credit cards. Additionally, billing frequency can be configured to occur per trip or monthly. Please note that the specifics of billing setup may vary from market to market.

  • Uber for Business is connected with some of the world's leading expense providers, including Chrome River, Expensify, SAP Concur, and Zoho Expense. You can get more information and see other providers here

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili