Ruka uende katika maudhui ya msingi

Mfumo ambao ulibuniwa ili kutumika katika usafiri

Badilisha jinsi kampuni yako inavyosafirisha na kuwalisha wafanyakazi wake kupitia Uber for Business.

Mfumo mmoja kwa mahitaji ya wafanyakazi na wateja

Angalia jinsi mfumo wa Uber for Business unavyofanya kazi

Zana zinazokupa udhibiti

Tumia dashibodi ya Central kuitishia wateja na wageni usafiri hata kama hawana Smartphone.

Wafikie wateja wapya na uwape motisha wafanyakazi kwa kutumia vocha wanazoweza kutumia kupata vyakula na usafiri.

Waalike wafanyakazi wako wajiunge na mipango maalum ya usafiri, chakula na safari kwa kuwaunganisha kwenye akaunti yako ya kazini.

Kutana na biashara zinazoimarika kupitia mfumo wetu

Ryder imeitisha zaidi ya safari 100,000 kwa wateja kwa kushirikiana na API ya Uber, kuiwezesha kampuni hiyo kutenga muda na rasilimali kwa njia bora.

Golden State Warriors ilishirikiana na Uber for Business kutafuta njia za kuboresha huduma kwa mashabiki katika Chase Center.

Twenty Four Seven Hotels ilitumia Uber for Business kuitisha usafiri badala ya kutumia huduma zao za kawaida za mabasi na hivyo kuwavutia wageni wao zaidi.

Vipengele vya hali ya juu ili kuokoa muda na pesa

Badilisha mipango ikufae

Weka viwango vya safari na chakula kulingana na siku, wakati, mahali na bajeti. Pia unaweza kuruhusu wafanyakazi wako kulipa kutumia akaunti moja ya kampuni au kadi zao binafsi.

Tumia utaratibu wa kiotomatiki kulipia gharama

Tunaungana na watoa huduma maarufu wa kulipia gharama kama vile SAP Concur ili kuchakata gharama za matumizi kiotomatiki. Wafanyakazi hawahitaji tena kufuatilia stakabadhi.

Pata uchanganuzi wa kina

Tunakupa uwezo mkubwa wa kuchanganua gharama na matumizi ya wafanyakazi wako, ili uweze kuboresha mpango wako na kuboresha faida.

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili