Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi
Baadhi ya bidhaa zinazorejelewa kwenye ukurasa huu huenda zisipatikane katika nchi yako

Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali angalia tena, kwa sababu upatikanaji wa bidhaa unaweza kubadilika.

X small

Wafurahishe wageni wako kwa kuwalipia usafiri na vyakula

Tunarahisisha mchakato wa kuandaa huduma bora kwa wageni.

Ni bora zaidi kwa wageni wako na huokoa pesa

Okoa pesa kwa kuacha usafiri wa mabasi

Toa usafiri unaohitajika kwenda na kutoka kwenye uwanja wa ndege ukitumia Vocha badala ya kutumia usafiri wa basi wenye gharama kubwa.

Toa huduma bora kuliko washindani wako

Itisha usafiri kwa kutumia Central kwa niaba ya wageni ili kupata manufaa bora ambayo yatawafanya warudi.

Wape vyakula kutoka kwa migahawa maarufu iliyo karibu

Ukiwa na vocha za chakula, wageni wako hupata vyakula vitamu na utasaidia biashara za mahali ulipo.

"Uber hutoa njia rahisi ya kuwapa wageni wetu huduma ya usafiri wa kuaminika wanapohitaji."

David Wani, Afisa Mkuu Mtendaji, Hoteli za Twenty Four Seven

Kwa nini sekta ya utalii inapenda mfumo wetu

Lipa tu wageni wanaposafiri au kula

Unapotumia Vocha, utaamua kiasi utakacholipa kwa safari na vyakula. Isitoshe, unalipa tu anapotumia huduma hii.

Itisha safari nyingi mara moja

Ukitumia Central, ni rahisi kuitisha usafiri sasa au kupanga safari za baadaye. Hakuna kikomo cha idadi ya safari ambazo unaweza kwenda mara moja.

Uupe usalama kipaumbele

Kuanzia orodha za ukaguzi wa usalama wa COVID-19 hadi uchunguzi wa lazima wa uhalifu kwa madereva, tumechukua hatua za kumlinda kila mtu anayetumia mfumo wetu.

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili