Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Huduma bora ya Uber kwa ajili ya biashara yako

Tovuti ya kusimamia safari za kimataifa, milo na usafirishaji wa bidhaa katika eneo husika kwa kampuni zenye ukubwa wowote.

Tovuti ya kimataifa kwa ajili ya mahitaji yako yote ya biashara

Safari za kwenda na kutoka kwenye uwanja wa ndege. Safari za kila siku. Safari kwa ajili ya wateja. Wakati biashara yako inahitaji kupiga hatua, unaweza kuomba safari katika zaidi ya miji 10,000 kote ulimwenguni.

Ni vigumu kufanya kazi nzuri ukiwa na njaa. Hakikisha kwamba wafanyakazi wako wana motisha na wageni wako wanapewa chakula cha kutosha kutoka kwa washirika wa mikahawa zaidi ya 780,000.

Kwa vifurushi vyenye uzito wa chini ya pauni 50, kuanzia maagizo ya rejareja hadi bidhaa za magari, tunaweza kusaidia biashara yako iwafikie wateja kwa haraka zaidi kuliko hapo awali kupitia ufikiaji wa machaguo ya kusafirisha bidhaa ya siku hiyohiyo katika eneo lako.

Kipe kikosi chako huduma bora zaidi

Bainisha kwa urahisi jinsi wafanyakazi wako wanavyosafiri kupitia dashibodi moja kuu na programu ya Uber itafanya hayo mengine. Hawatakuwa na wasiwasi wa kwenda safari ambazo hazijajumuishwa kwenye sera au kuwasilisha stakabadhi za ripoti za gharama.

Solutions for your team

Wafurahishe wateja na watu wengine unaowahudumia

Tumia Vocha za Uber kubaini jinsi unavyotoa usafiri wa kiwango chochote. Shughulikia mahitaji ya wateja wako kulingana na vigezo na masharti yako.

Huduma zinazowafaa wageni wako

Haiathiri tija unayopata

Huhitaji tena kuchukua muda mwingi kutayarisha ripoti za kulipia safari zako. Utaokoa dola 58 kwa kila ripoti ya malipo.* Pia, utaokoa gharama za usafiri wa kikazi barabarani kadri mahitaji yanavyoongezeka.

*"Shughuli za Kutayarisha Ripoti za Malipo zina Gharama gani kwa Kampuni?" Muungano wa Kimataifa wa Safari za Kikazi (GBTA). Novemba 11, 2015

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili