Ruka uende katika maudhui ya msingi

Lipia gharama za safari zao jinsi unavyoamua

Boresha huduma kwa wateja na uwavutie wateja wengi kwenye biashara yako kwa kutumia Vocha za Uber. Wahimize wateja kurejea mara kwa mara kwa kulipia safari zao kwenye Uber.

Wasiliana Nasi

Vocha za Uber hukuwezesha kulipia gharama ya safari katika kiwango chochote, jinsi unavyotaka.

Shughulikia safari zao

Boresha huduma kwa wateja kwa kurahisisha jinsi wanavyosafiri kutoka mahali walipo hadi kwenye biashara yako.

Weka masharti unayotaka

Amua kiasi cha safari utakacholipia au eneo la huduma, kulingana na mahitaji ya biashara yako.

Wape usafiri zaidi kwa urahisi

Punguza matukio ya kuhusisha wafanyakazi wako kuwasafirisha wageni katika safari za kiwango chochote.

Every day, millions of rides happen with Uber.

Now you can help drive riders right to your business by offering vouchers to cover their cost of getting there.

See how you can grow your business with Uber Vouchers.

Wavutie wateja wapya

Toa huduma ambayo washindani wako mtandaoni hawawezi kufikia: huduma zinazotimiza matakwa ya binafsi. Vocha hurahisisha juhudi za kuwavutia wateja kwenye biashara yako.

Pata maelezo zaidi

Vutia wateja wengi kwenye biashara yako

Mteja aliyeridhika atarudi tena kupata huduma zako. Vocha za Uber hukusaidia uwaondolee wateja usumbufu unaotokana na kuendesha gari, kutafuta maegesho na maelekezo ya safari. Kwa hivyo, watashughulikia mambo yanayohusu biashara yako.

Pata maelezo zaidi

Punguza gharama za usafiri

Wasafirishe wateja wako bila gharama yoyote ya wafanyakazi na matengenezo ya magari. Vocha za Uber zinakupa fursa ya kufanya mambo mengine huku ukisimamia usafiri. Biashara yako hutoa kiwango kinachofaa cha huduma bila kukuhitaji uiratibu.

Anza

Ifanye iwe huduma maalum

Wape huduma bora ya usafiri watakayokumbuka. Iwe unatangaza matukio ya tamasha, kongamano au likizo, vocha zinakuwezesha kushughulikia maelezo ya usafiri ili kuwasaidia wateja kuwazia tukio lako badala ya jinsi watakavyosafiri.

Anza

Masimulizi ya wateja

Angalia jinsi wateja wanavyotumia Vocha za Uber.

Pata maelezo zaidi

Offer experiences that set your business apart

Anza