Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Tovuti ya kimataifa ya safari kwa ajili ya biashara yako

Wape wateja na wafanyakazi uwezo wa kufika mahali wanapotaka kwenda kwa urahisi, kwa kutumia programu inayopatikana katika zaidi ya nchi 70.

Safari kwa ajili ya tukio lolote

  • Safari za kikazi

    Kuanzia safari za kwenda na kutoka kwenye uwanja wa ndege hadi mikutano ya mjini. Wape wasafiri njia rahisi ya kulipia gharama kwa kuwapa usafiri wa barabarani katika zaidi ya miji 10,000.

  • Safari

    Weka mpango wako wa usafiri ili kuhakikisha timu yako inafanya kazi kwa tija na kwa usalama. Inafaa kwa safari za alfajiri, za mbali na usiku wa manane.

  • Matukio na shukrani

    Marupurupu kwa wafanyakazi, sherehe na pongezi. Wahusishe watu wako kwa kuwapa safari za kwenda na kuondoka kwenye matukio ya kampuni.

1/3

Pata maelezo kuhusu utaratibu wake

Tovuti iliyoundwa ili kukidhi mahitaji yako

Usalama wako ni muhimu kwetu

Kuanzia orodha kaguzi za usalama za COVID-19 hadi uchunguzi wa uhalifu wa dereva, tumechukua hatua ili kuhakikisha kuwa tumeupa usalama kipaumbele.

Alama halisi ya kimataifa

Programu ya Uber inapatikana katika zaidi ya nchi 70 na miji 10,000, kwa hivyo wafanyakazi wako wanaweza kuhudumiwa kote ulimwenguni.

Rahisi kusimamia

Ina violezo na vidhibiti maalumu ambavyo hufanya programu ziwe rahisi kuunda. Weka tu muda, aina na vikomo vya matumizi vya safari.

See it in action

1/2

Njia tofauti za kusafiri

Inapohitajika

Omba safari, ingia na uende.

Weka nafasi

Weka nafasi za starehe hadi siku 30 kabla kwa wakati wowote utakapokuwa tayari kusafiri.

Pata zana unazohitaji ili kufanya biashara yako isonge mbele

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili