Faida zote za Uber zimebuniwa upya kwa ajili ya biashara
Badilisha jinsi kampuni yako inavyosafirisha na kulisha wafanyakazi wake.
The best of Uber reimagined for business
Badilisha jinsi kampuni yako inavyosafirisha na kulisha wafanyakazi wake.
Njia mbili za kuanza kutumia Uber for Business
- Njia ya haraka zaidi ya kujisajili kwenye kampuni zenye ukubwa wote
- Utaratibu wa kulipa uliorahisishwa na uwezo wa kulipa kwa kutumia kadi moja ya benki
- Ufikiaji wa vipengele vyote vya dashibodi, ikiwemo kuunganishwa na tovuti maarufu za gharama na usafiri, usaidizi kwa wateja na kituo cha msaada
- Kwa kampuni zilizo na wafanyakazi zaidi ya 250
- Utaratibu wa kulipa uliorahisishwa, usaidizi wa ankara na uwezo wa kusimamia mbinu nyingi za malipo
- Ufikiaji wa vipengele vyote vya dashibodi, ikiwemo kuunganishwa na tovuti maarufu za gharama na usafiri na usaidizi mahususi
Hauko tayari kuanza?
Angalia nyenzo hizi ili upate maelezo zaidi kuhusu jinsi Uber for Business inavyoweza kusaidia wafanyakazi na wateja wako.
Pata maelezo zaidi kuhusu uwezo wa Uber for Business katika shughuli za kila siku na jinsi tovuti yetu ya kimataifa inavyoweza kutoa huduma mahususi.
Waridhishe wasafiri wa kikazi barabarani kwa kutumia vidokezi hivi 4 ili kuupa kipaumbele ustawi wa wasafiri.
Kupambana na mabadiliko ya tabianchi ni jitihada za timu. Kama mshirika anayejivunia uendelevu wa kampuni ulimwenguni kote, tunaweza kukusaidia kubadilisha malengo ya tabianchi yawe matokeo yanayoendelea.
Jinsi inavyofanya kazi
Muhtasari
Huduma na vipengele
Huduma
Safari
Eats
Kusafirisha bidhaa
Tasnia na timu
Tasnia
Timu
Nyenzo
Nyenzo