Ruka uende katika maudhui ya msingi
Baadhi ya bidhaa zinazorejelewa kwenye ukurasa huu huenda zisipatikane katika nchi yako

Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali angalia tena, kwa sababu upatikanaji wa bidhaa unaweza kubadilika.

X small

Kila kitu ambacho wafanyakazi wako wanahitaji ili kufanya kazi vizuri

Iwe ni katika safari ya kila siku au usafirishaji wa chakula cha mchana, tunawasaidia wasimamizi wa wafanyakazi kutatua changamoto kubwa bila kugharimika zaidi.

 Office Manager-Hero.svg

Njia bora za kutunza wafanyakazi wako

Order_Lunch_For_Whole_Team

Usafirishaji wa chakula husaidia kupunguza gharama za usafiri na kuongeza tija. Chaguo la kusafirisha chakula bila kukutana hupatikana kwenye App.

Offer_Stress_Free_Commute

Wasaidie wafanyakazi wako kufika kazini kwa kufadhili safari za kwenda na kutoka ofisini. Ni rahisi kuweka masharti kuhusu mahali, wakati na bajeti.

Provide_Rides_Company_Events

Waandae wafanyakazi na wageni kwa kulipia gharama za safari za kwenda na kutoka kwenye matukio ya kampuni ukitumia Vocha.

“Kuwapa wafanyakazi wetu huduma ya Uber Eats ni njia bora ya kutoa shukrani zetu katika hali hii na kusaidia uchumi na migahawa katika eneo letu.”

Reena Scoblionko, VP of People, GoodRx

 logo-goodrx.svg

Sababu zinazofanya wasimamizi wa wafanyakazi kupenda mfumo wetu

Clock.svg

Okoa muda wa kulipia gharama

Tuma stakabadhi kiotomatiki kupitia huduma zetu zinazojumuisha SAP Concur na programu nyingine zinazoshughulikia matumizi.

Mask _Badge.svg

Uupe usalama kipaumbele

Kuanzia chaguo la kusafirishiwa chakula bila kukutana hadi orodha za kuhakiki COVID-19 kwa madereva na wasafiri, tumechukua hatua ya kuimarisha usalama wa watumiaji.

headset 1.svg

Wasiliana na huduma kwa wateja

Tuko hapa kwa ajili yako na wafanyakazi wako kila wakati. Kwa hivyo, ikiwa una maswali yoyote au unahitaji usaidizi wa kutatua tatizo, wasiliana nasi.

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.

Chagua lugha ambayo unapendelea

Kiingereza, EnglishKiswahili, Kiswahili

Chagua lugha ambayo unapendelea

Kiingereza, EnglishKiswahili, Kiswahili