Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Faida zote za Uber, zimebuniwa upya kwa ajili ya biashara

Uber for Business hulipa shirika lako udhibiti zaidi, ufahamu wa kina na vipengele vilivyoundwa kwa ajili ya watumiaji wa biashara. Simamia na ufuatilie safari za kikazi, mipango ya milo na kadhalika kwenye dashibodi moja.

Huduma bora ya Uber kwa ajili ya biashara yako

Faida zote za Uber zimebuniwa upya kwa ajili ya biashara

Badilisha jinsi kampuni yako inavyosafirisha na kulisha wafanyakazi wake.

Shiriki huduma bora za Uber na Uber Eats na wafanyakazi wako msimu huu wa sikukuu

Kadi na Vocha za Zawadi za Uber, ofa inayofaa ya kuboresha karamu zako za sikukuu, kuwashukuru wateja wa VIP au kuwashukuru wafanyakazi wako katika msimu huu wa sherehe. Pata maelezo zaidi na usambaze furaha.

X small

Huduma bora ya Uber kwa ajili ya biashara yako

Tovuti ya kusimamia safari za kimataifa, milo na usafirishaji wa bidhaa katika eneo husika kwa kampuni zenye ukubwa wowote.

Tovuti ya kimataifa kwa ajili ya mahitaji yako yote ya biashara

Safari za kwenda na kutoka kwenye uwanja wa ndege. Safari za kila siku. Safari kwa ajili ya wateja. Wakati biashara yako inahitaji kupiga hatua, unaweza kuomba safari katika zaidi ya miji 10,000 kote ulimwenguni.

Ni vigumu kufanya kazi nzuri ukiwa na njaa. Hakikisha kwamba wafanyakazi wako wana motisha na wageni wako wanapewa chakula cha kutosha kutoka kwa washirika wa wauzaji zaidi ya 825,000.

Kwa vifurushi vyenye uzito wa chini ya pauni 50, kuanzia maagizo ya rejareja hadi bidhaa za magari, tunaweza kusaidia biashara yako iwafikie wateja kwa haraka zaidi kuliko hapo awali kupitia ufikiaji wa machaguo ya kusafirisha bidhaa ya siku hiyohiyo katika eneo lako.

Kwa nini utumie tovuti yetu

Programu hii inapatikana katika zaidi ya nchi 70 na miji 10,000, kwa hivyo tunawasafirisha wafanyakazi wako kwenda kazini.

Unaweza kuunda mipango ya usafiri na milo inayolingana na bajeti yako. Isitoshe, unaweza kupata ripoti na vidokezi kupitia dashibodi rahisi.

Utaratibu wetu mpya wa Usalama Unapotoka Sehemu Moja hadi Nyingine umebuniwa ili kulinda afya na usalama wa kila mtu anayetumia tovuti yetu.

Wawezeshe wafanyakazi na wateja wafikie tovuti inayotumiwa na mamilioni ya watu.

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili