Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Chaguo za safari kwenye ukurasa huu ni mfano wa bidhaa za Uber na huenda baadhi ya bidhaa zisipatikane mahali ambapo unatumia App ya Uber. Ukiangalia ukurasa wa wavuti wa jiji uliko au uangalie kwenye App, utaona usafiri unaoweza kuitisha.

X small

Uber Lux

Madereva wenye tathmini za juu katika magari ya kifahari

search
Weka mahali
Navigate right up
search
Weka mahali unakoenda

Sababu za kutumia Uber Lux

Magari ya kifahari

Madereva wenye tathmini za juu

Chaguo letu la gari la starehe zaidi

Jinsi ya kusafiri kwa kutumia Lux

1. Ombi

Fungua App na uweke mahali unakoenda katika kisanduku cha "Unaenda wapi?". Ukishathibitisha eneo la kuchukuliwa na mahali unakoenda, chagua, Lux kwenye sehemu ya chini ya skrini yako. Kisha bonyezaThibitisha Lux.

Baada ya kukutanishwa na dereva, utaona picha yake na maelezo ya gari, na unaweza kumfuatilia kwenye ramani anapokuja kukuchukua.

2. Safari

Hakikisha kwamba maelezo ya gari yanafanana na maelezo unayoona kwenye App kabla ya kuingia kwenye Lux.

Dereva wako anajua unakoenda na ana maelekezo yatakayokufikisha kwa haraka, lakini unaweza kumwomba atumie barabara unayopenda.

3. Shuka

Utatozwa kiotomatiki kwa kutumia njia ya malipo uliyoweka kwenye akaunti, kwa hivyo unaweza kushuka kwenye Lux pindi unapofika uendako.

Kumbuka kumtathmini dereva wako ili Uber iendelee kuimarisha usalama kwa manufaa ya kila mtu.

Mfumo wa kukadiria nauli

search
Weka eneo la kuchukuliwa
Navigate right up
search
Weka mahali unakoenda

Maelezo zaidi kutoka Uber

Safiri kwa gari unalotaka.

1/9

Nyenzo iliyo kwenye ukurasa huu wa tovuti ni kwa madhumuni ya taarifa pekee na huenda isitumike katika nchi, kanda au jiji lako. Inaweza kubadilika na huenda tukaibadilisha bila kukuarifu.