Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Chaguo za safari kwenye ukurasa huu ni mfano wa bidhaa za Uber na huenda baadhi ya bidhaa zisipatikane mahali ambapo unatumia App ya Uber. Ukiangalia ukurasa wa wavuti wa jiji uliko au uangalie kwenye App, utaona usafiri unaoweza kuitisha.

X small

Uber Black

Safari za starehe kwenye magari ya kifahari

Sababu ya kusafiri ukitumia Uber Black

Magari meusi ya kifahari

Madereva wenye tathmini za juu

Madereva stadi

Jinsi ya kusafiri ukitumia Uber Black

1. Ombi

Fungua App na uweke mahali unakoenda katika kisanduku cha "Unaenda wapi?". Ukishathibitisha ya kwamba mahali pa kuchukuliwa na mahali unakoenda ni sahihi, chagua Black kwenye sehemu ya chini ya skrini yako. Kisha bonyezaThibitisha Black.

Baada ya kukutanishwa na dereva, utaona picha yake na maelezo ya gari, na unaweza kumfuatilia kwenye ramani anapokuja kukuchukua.

2. Safari

Hakikisha kwamba maelezo ya gari yanafanana na maelezo unayoona kwenye App kabla ya kuingia kwenye Black.

Dereva wako anajua unakoenda na ana maelekezo yatakayokufikisha kwa haraka, lakini unaweza kumwomba atumie barabara unayopenda.

3. Shuka

Utatozwa kiotomatiki kwa kutumia njia ya malipo uliyoweka kwenye akaunti, kwa hivyo unaweza kushuka kwenye Black pindi unapofika uendako.

Kumbuka kumtathmini dereva wako ili kusaidia kuboresha usalama wa Uber na kufanya kila mtu afurahie.

Uko tayari kuitisha usafiri wa Uber Black?

Maelezo zaidi kutoka Uber

Safiri kwa gari unalotaka.

1/9

Nyenzo iliyo kwenye ukurasa huu wa tovuti ni kwa madhumuni ya taarifa pekee na huenda isitumike katika nchi, kanda au jiji lako. Inaweza kubadilika na huenda tukaibadilisha bila kukuarifu.