Uber Black SUV
Usafiri wa Starehe kwa hadi watu 6 katika magari ya kifahari ya SUV.
Sababu ya kusafiri kwa Uber Black SUV
Safari za kifahari kwa watu wengi
Madereva wenye tathmini za juu
Luxury SUV
Jinsi ya kusafiri ukitumia Uber Black SUV
1. Ombi
Fungua App na uweke mahali unakoenda katika kisanduku cha "Unaenda wapi?". Ukishathibitisha eneo la mahali pa kuchukuliwa na mahali unakoenda, chagua Black SUV kwenye sehemu ya chini ya skrini yako. Kisha bonyezaThibitisha Black SUV.
Baada ya kukutanishwa na dereva, utaona picha yake na maelezo ya gari, na unaweza kumfuatilia kwenye ramani anapokuja kukuchukua.
2. Safari
Hakikisha kwamba maelezo ya gari yanafanana na maelezo unayoona kwenye App kabla ya kuingia kwenye SUV.
Dereva wako anajua unakoenda na ana maelekezo yatakayokufikisha kwa haraka, lakini unaweza kumwomba atumie barabara unayopenda.
3. Shuka
Utatozwa kiotomatiki kwa kutumia njia ya malipo uliyoweka kwenye akaunti, kwa hivyo unaweza kushuka kwenye SUV pindi unapofika uendako.
Kumbuka kumtathmini dereva wako ili kusaidia kuboresha usalama wa Uber na kufanya kila mtu afurahie.
Safiri vizuri kwa Uber Reserve
Kamilisha mipango yako leo kwa kuweka nafasi ya usafiri. Omba safari yako hadi siku 90 mapema ukitumia Uber Reserve, ili usiwe na wasiwasi kuhusu kufika huko.
Safari kote ulimwenguni
Kuna njia zaidi ya moja ya kusafiri ukitumia Uber, haijalishi mahali ulipo au unakokwenda baadaye. Angalia programu ili uone ni machaguo yapi ya safari yanayopatikana karibu nawe.*
Uber Electric
Safari zisizo na uzalishaji wa hewa chafu kwa kutumia magari ya umeme
UberX Share
Safiri pamoja na hadi msafiri mmoja kwa wakati mmoja
Uber Transit
Maelezo ya usafiri wa umma kwa wakati halisi kwenye programu ya Uber
Baiskeli
Baiskeli za umeme pale unapozihitaji ambazo hukuruhusu kwenda mbali zaidi
Uber Comfort
Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha ya kuweka miguu
Uber Black SUV
Safari za starehe kwa watu 6 katika magari ya kifahari ya SUV
Nyenzo zilizotolewa kwenye ukurasa huu wa wavuti zinalenga kutoa taarifa pekee na huenda zisihusike katika nchi, eneo, au jiji lako. Inaweza kubadilika na kusasishwa bila taarifa.
¹Unapoomba safari ya Uber Reserve, bei ya safari utakayoona itakuwa makadirio yanayojumuisha ada ya kuhifadhi, ambayo inaweza kutofautiana kulingana na eneo la anwani ya kuchukuliwa na/au siku na saa ya safari yako. Ada hii hulipwa na wasafiri kwa ajili ya muda wa ziada wa kusubiri wa dereva wao na muda/umbali unaotumika kusafiri hadi eneo la kuchukuliwa.
Kuhusu
Kuhusu