Ruka uende katika maudhui ya msingi

Baiskeli

Pata na ukodishe baiskeli ya umeme kupitia App yako ya Uber. Teua chaguo la baiskeli kwenye App, na ufurahie usafiri.

Raha ya chombo cha umeme

Baiskeli za umeme zinazopatikana unapozihitaji, zinakuwezesha kusafiri kwenda mbali haraka na kwa raha zaidi.

Pedali inayotumia umeme

Baiskeli zinajiongeza umeme: kadri unavyokanyaga pedali kwa nguvu, ndivyo inavyoenda kasi.

Endesha kwa usalama. Endesha kwa makini.

Fuata sheria za barabarani na uegeshe inavyoruhusiwa. Tunakushauri uvae helmeti wakati wote na uwe makini na spidi yako.

Utaratibu wake

Pata baiskeli

Fungua App ya Uber na ufuate maelekezo ya kukodisha baiskeli. Weka nafasi ya baiskeli iliyo karibu au utembee hadi mahali ilipo ili uanze.

Anza kuendesha

Skani msimbo wa QR ulio kwenye baiskeli ili uifungue, vuta nyororo ya kufuli nje kabisa kisha uanze safari. Tunakushauri uvae helmeti kila wakati.

Kamilisha safari safi

Ili kukamilisha safari yako, funga baiskeli kwa kutumia mnyororo wa kufuli kwenye gurudumu la nyuma. Hakikisha kwamba hujafunga baiskeli kwenye barabara za waenda kwa miguu na njia zinazotumiwa na watu wenye ulemavu. Pia, egesha baiskeli yako katika eneo sahili linalooneshwa kwenye App yako.

Safari kote ulimwenguni

Kuna njia zaidi ya moja ya kusafiri ukitumia Uber, haijalishi mahali ulipo au unakokwenda baadaye. Angalia programu ili uone ni machaguo yapi ya safari yanayopatikana karibu nawe.*

Nyenzo iliyo kwenye ukurasa huu wa tovuti ni kwa madhumuni ya taarifa pekee na huenda isitumike katika nchi, kanda au jiji lako. Inaweza kubadilika na huenda tukaibadilisha bila kukuarifu.