Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Pokea mapunguzo maalum nchini Tanzania

Punguza gharama unazotumia na uokoe pesa nyingi ukitumia punguzo na ofa zinazotolewa na washirika wa Uber jijini Dar es Salaam. Mpango wa ofa zetu unawasaidia madereva wote wanaotumia Uber kote ulimwenguni.

Ofa kwa ajili ya madereva

Britam Insurance

Tumeingia ubia na kampuni ya Puma Energy, mojawapo wa kampuni kubwa zinazouza mafuta nchini Tanzania ili kukupatia punguzola mafuta kila mara unaponunua mafuta kwenye sheli zao. Ili upate punguzo hili, unachotakiwa kufanya ni kutumia kadi yako ya mafuta kununua mafuta katika sheli za Puma jijini Dar es Salaam.

Sasa utakuwa unapata punguzo la TZS 45 kwenye kila lita ya mafuta unayonunua katika sheli za Puma.

Nitapataje kadi ya mafuta?

  1. Jaza fomu hii kama njia ya kutuma maombi ya kupata kadi ta mafuta.
  2. Utatumiwa ujumbe mara tutakapopokea ombi lako na tutakujulisha pindi kadi yako iko tayari.
  3. Utapokea ujumbe wa SMS kutoka kampuni ya Puma Energy wakikuambia uchukue kadi yako na maelezo kuhusu mahali utaichukua.

Tafadhali jaza fomu ifuatayo ili upate kadi mafuta bila gharama yoyote.

Tigo

Tumeingia ubia na kampuni ya simu ya Tigo Tanzania, mojawapo wa kampuni kubwa za Mtandao wa simu nchini Tanzania, ili kukupatia bando maalum litakalokusaidia kufanya shughuli zako. Kupitia ushirikiano huu sasa unaweza kutumia App ya Dereva bure.

More ways to save

Jerry Spare Parts

We have partnered with Jerry Spare Parts to offer you up to 50% off your next oil or filter replacement. Enjoy a starting price of up to 55,000 Tsh for mechanic services.

You can purchase certain parts or schedule a booking at the Greenlight Hub

Refreshments Supplier

We've partnered with a soft drinks vendor to keep you refreshed when you visit the Greenlight Hub. Choose from a selection of cold drinks and waters while you wait for an available support expert.

Utrack Africa limited

With Utrack, you can secure your car and track it's location at any time. Preferred prices starting at 37,000 Tsh per month. Visit the Greenlight Hub for more information.

Small Cash Loans

We have partnered with Jibusti to enable driver partners with the opportunity to receive small cash loans at an affordable rate. Visit the Greenlight Hub for more information.

Anza kutengeneza pesa kwa kuendesha gari ukitumia Uber ukiwa Tanzania

Tunatumia taarifa iliyo kwenye ukurasa wa tovuti hii kutoa maelezo pekee na huenda hali isiwe hivyo katika nchi, eneo au mji wako. Inaweza kubadilika na huenda tukaibadilisha bila kukuarifu.