Mambo ya msingi kuhusu jinsi ya kuendesha gari ukitumia mfumo wa Uber
Iwe ni safari yako ya kwanza au ya 100, utapata maelezo ya kina katika mwongozo wa Mambo ya Msingi kuhusu App ya Uber Driver. Utapata mambo yote unayohitaji kujua kuhusu App hapa. Mambo haya yanajumuisha jinsi ya kuchukua wasafiri, kufuatilia mapato yako na mengineyo.
Kabla ya kuanza
Kuanzia kuandaa gari hadi kuimarisha usalama, vifuatavyo ni baadhi ya vidokezo vya kutumia App na baadhi kutoka kwa madereva vya kukusaidia kuanza safari yako vizuri.
Kukubali safari
Utapata mambo muhimu kuhusu jinsi ya kuendesha gari ukitumia mfumo wa Uber hapa. Tutakufahamisha kuhusu jinsi ya kukubali safari kwa urahisi, kupata pesa ukiwa njiani kuelekea nyumbani na mengineyo.
Mapato
Utaweza kupangia siku zijazo vizuri zaidi ukielewa utaratibu wa kupokea mapato. Tambua zana zilizo katika App hii zinazokupa uwezo.
Tathmini, jumuiya na mengineyo
Uko tayari kuwa dereva stadi ukitumia Uber? Pata maelezo kuhusu utaratibu wa tathmini, Mwongozo wetu wa Jumuiya na vidokezo kutoka kwa madereva wenye tathmini za juu ili uweze kuwa dereva stadi haraka.
Endesha gari kupitia App
Endesha gari kupitia App
Kuhusu