Bima ya Majeraha kwa Washirika
Maelezo muhimu
Kuanzia tarehe ya uzinduzi
Mpango wa Bima ya Majeraha kwa Washirika unaanza tarehe 21 Desemba 2018.
Inakulinda unapokuwa kwenye Safari
Unalindwa kuanzia unapokubali ombi la kumsafirisha abiria hadi wakati unamaliza safari.
Bima hii inamlinda nani?
Madereva na washirika wote wanaotumia Uber wanalindwa, vigezo na masharti yatazingatiwa.
Hali hii inamaanisha nini?
Get help with medical treatment costs if you’re injured in an accident while on an Uber trip. If your injuries stop you from driving, you can also get help with lost earning opportunities.
Protection for medical treatment costs and lost earning opportunities
If you’re an Uber driver partner in Tanzania, Partner Injury Protection can help you with emergency medical treatment expenses and other costs.
You pay nothing
As part of our global commitment to safety we have partnered with UAP-Old Mutual Insurance to provide as many driver partners as possible with protection under this program. That’s why Uber is paying for this program.
Your customers are protected too
While on an Uber trip in Tanzania, your passengers are also automatically protected by the injury protection insurance.
How to claim if you’re injured
If you’re injured in an accident while On-Trip and want to get help with your medical treatment costs, please use the in-app claim form or contact UAP-Old Mutual (see below).
Maswali Yanayoulizwa Sana
- Sifa kuu za bima hii ni zipi?
- Kima cha juu cha manufaa ni kipi?
- Kuna vigezo na masharti gani?
- Uber inafanya hivi kwa nini?
- Tangazo la leo lina maana gani?
- Je, washirika wote wa Uber wanaweza kupata bima hii?
- Sihitaji bima hii. Ninaweza kuikataa vipi?
- Bima ya Majeraha inapatikana wapi?
- Je, Bima ya Majeraha inachukua nafasi ya bima yangu binafsi ya gari la biashara?
- Ni nini maana ya “Ukiwa Safarini”? Ninalindwa wakati gani?
- Je, nitaanza kutumia vipi Bima dhidi ya Majeraha kwa Washirika?
- Je, ni matukio gani yasiyofidiwa?
- Nitafuata utaratibu gani kudai?
Pata maelezo zaidi kutoka Uber
Pata usaidizi
Tushirikiane katika kurahisisha kila safari ya Uber. Kurasa zetu za usaidizi zinaweza kukusaidia kufungua akaunti, kupata usaidizi kwenye programu, kubadilisha nauli na mengine mengi.
Wasiliana nasi
Una maswali? Pata majibu. Furahia usaidizi wa binafsi katika Kituo cha Madereva wa Uber kilicho jijini mwako.
Tunakupa bima hii kulingana na vigezo na masharti yafuatayo:
- Uber inaweza kufutilia mbali, kubadilisha au kurekebisha bima hii wakati wowote kwa hiari yake.
- Bima hii inatumiwa na Uber kwa gharama na hiari yake.
- Madereva hawana wajibu au jukumu la kulipia chochote au dhamana zozote zinazohusiana na bima.
- Madereva na Uber wanaelewa na kukubali kwamba Dereva anaweza kuamua kujiondoa kwenye bima wakati wowote kwa kubainisha kwamba hakubali bima hiyo mara anapotuma arifa au ombi. Kukataa bima hakutaathiri uwezo wako wa kutumia Programu ya Uber.
- Madereva Washirika ni wanakandarasi huru. Kwa vyovyote vile, bima hii haianzishi uhusiano wa ajira au matarajio ya kuajiriwa (iwe ni katika mtazamo wa sheria ya leba, sheria ya kodi au sheria ya ustawi wa jamii) kati ya Uber na Dereva Mshirika.