Utahitajika kuweka miadi ili kutembelea na kupata huduma kwenye ofisi zetu za Greenlight. Hii ni kwa sababu tuweze kuzuia mikusanyiko ya watu wengi, kupunguza muda wako wa kusubiria huduma na ili tuweze kukupa huduma kwa usalama. Kama haujaweka miadi, hautoruhusiwa kuingia katika ofisi.
Ili kuweka miadi, tembelea sehemu ya usaidizi kwenye programu yako ya dereva mshirika.
Contact Uber in Tanzania
Una maswali kuhusu kutumia mfumo wa Uber kuendesha gari? Tuko hapa kujibu maswali yako.
Pata maelezo zaidi
Mambo ya Msingi Kuhusu App ya Dereva
Pata maelezo kuhusu jinsi ya kupokea maombi ya usafiri kupitia App ya Uber, sehemu ya kuona mapato yako na mengine mengi.
Usaidizi wa ana kwa ana
Katika baadhi ya miji, unaweza kupata usaidizi wa ana kwa ana katika ofisi za Greenlight Hub.
Ili kuangalia upatikanaji, nenda kwenye Usaidizi kwenye App yako ya Uber Driver, kisha Weka miadi ya kukutana ana kwa ana , chagua tatizo unalohitaji usaidizi, kisha ubonyeze Panga miadi ikiwa ungependa usaidizi zaidi. Au unaweza kutembelea tovuti yetu.
Reach our security number
If you feel unsafe or in a difficult situation and need immediate security help, we have a security company available 24/7.
You can contact the Security unit on +255 784 700 299 or +255 754 303 076
Kampuni