Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Masharti ya magari Tanzania

Ni gari gani linalokufaa? Hakikisha linatimiza masharti ya magari nchini Tanzania, ukumbuke kwamba utajiingizia pesa nyingi ukipunguza gharama za kuendeshea biashara yako.

Gari lako

 • Toleo la mwaka 2003 au jipya zaidi
 • Ukubwa wa injini usiozidi 1300cc
 • Liwe katika hali nzuri
 • Kadi ya usajili wa gari kwa ajili ya shughuli za biashara
 • Bima ya Magari
 • Stika ya halmashauri ya jiji la Dar es Salaam (Stika ya Jiji (uber)

Orodha ya magari yenye sifa

Tafuta aina na miundo ya magari yenye sifa za kutumia Uber katika mji wako.

Aina za magari nchini Tanzania

UberX

Magari mengi mapya yana vigezo vya kutoa huduma ya uberX, hii ndio huduma inayopendwa na wasafiri wengi.

Masharti ya ziada

 • Sedan ya milango 4 ambalo liko katika hali nzuri
 • Liwe na viti vya kukalia abiria 4 kando na kiti cha dereva
 • Madirisha ambayo hayajaharibika na liwe na kiyoyozi
 • Hiace na malori hayakubaliki
 • Teksi, magari ya serikali, au magari mengine yenye nembo za kampuni hayaruhusiwi
 • Magari yaliyofanyiwa ukarabati hayaruhusiwi

Magari yote ya mwaka 2003 au baadaye yanaruhusiwa kutoa huduma ya berX na yenye ukubwa wa injini isiozidi 1300cc. Angalia magari maarufu yanayoandikishwa kutoa huduma za Uber, hata hivyo kuna miundo mingine ya magari inayokubalika.

 • MakeModels
  VolkswagenPolo
  ToyotaCame, Ractis, Fun Cargo, bB, ist, Platz, Yaris, Belta, Passo, Vitz, Duet
  DaihatsuTerios, Boon
  SuzukiSwift, Alto, Cervo, Kei, Wagon R, Every
  NissanMarch, Micra, Note
  VauxhallAstra
  MazdaAxela
 • Item Body

 • Item Body

Ukodishaji wa Magari

Licha ya jinsi unavyopanga kuendesha gari, tunaweza kukusaidia upate gari litakalokufaa. Gundua aina mbalimbali zinazopatikana kwa ajili yako.

Pata maelezo zaidi kutoka Uber

 • Pata usaidizi

  Tushirikiane kurahisisha safari zote za Uber. Kurasa zetu za usaidizi zinaweza kukusaidia kufungua akaunti, kupata usaidizi kwenye App, kubadilisha nauli na mengineyo.

 • Wasiliana na Uber

  Una maswali Pata majibu. Furahia usaidizi wa kibinafsi kutoka Kituo cha Madereva wa Uber nchini Tanzania.

 • Zawadi

  Punguza gharama zako na uweke akiba ya hela unazopata mjini Dar es Salaam kwa kupata mapunguzo na zawadi kutoka kwa washirika wa Uber.

 • Bima kwa Washirika

  Bima ya Washirika inakulinda kutokana na gharama ya ajali au matukio ya maisha na inapatikana bila malipo kwa madereva wetu wote wa kujitegemea wanaotimiza vigezo.

1/4

Taarifa inayopatikana kwenye ukurasa huu wa tovuti ni kwa madhumuni ya kutoa taarifa pekee na huenda isitumike katika nchi, kanda au jiji lako. Inaweza kubadilika na huenda tukaibadilisha bila kukuarifu.