Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Utaratibu wa mialiko

Unaweza kupata pesa zaidi kwa kuwaalika marafiki kuendesha gari kupitia Uber. Ukiwaaalika na wakamilishe idadi fulani ya safari katika muda uliowekwa, utapata pesa za ziada.

Mambo ya msingi kuhusu mialiko

The app makes it easy for you to invite friends to drive with Uber directly from your contact list. Send a personalized text message or trigger an invite email in seconds.

1. Ili kuwaalika watu unaowajua kujisajili kwenye Uber, watumie kuponi ya mwaliko ambayo unaweza kupata kwenye App yako.

2. Unaweza kufuatilia hatua ya rafiki yako kwenye App ya Uber Driver. Tutakutumia pia barua pepe ili kukujuza kuhusu hali yake.

3. Pata zawadi rafiki yako anapokamilisha idadi fulani ya safari na kutimiza masharti yote. Idadi ya safari zinazotakiwa na kiasi cha zawadi ya mwaliko hutofautiana kutegemea mji. Unaweza kupata maelezo kuhusu zawadi unazoweza kupata kwa kila unayemwalika kwenye App ya Uber Driver, pindi rafiki yako anapojisajili.

4. Rafiki yako anapokamilisha idadi ya safari iliyobainishwa na kutimiza masharti ya ofa ya mwaliko, utaona zawadi kwenye akaunti yako na utaipata katika taarifa ya malipo wiki ya itakayofuata.

Jinsi ya kuwaalika marafiki kwa kufuata hatua rahisi

1. Nenda kwenye App ya Uber Driver kisha ubonyeze aikoni ya menyu.

2. Bonyeza Mapato > Alika marafiki upate pesa> Pata maelezo zaidi.

Bonyeza ‘Chagua kwenye anwani’ kisha uchague anwani na ubonyeze ‘Tuma mialiko’.

Viinua mgongo

Kujua watu ambao wangependa kuendesha gari kwenye Uber ni mwanzo tu. Zifuatazo ni baadhi ya njia rahisi za kusaidia marafiki zako kujisajili.

Kuwasiliana na rafiki yako

Kwenye App au dashibodi ya dereva, bonyeza au bofya Kumbusha na utakumbushwa kumtumia rafiki yako SMS au barua pepe ya kumkumbusha kukamilisha kujisajili au kuanza kusafiri.

Kusaidia rafiki yako

Kama unavyojua, mchakato wa kujisajili una hatua nyingi. Kuna maelezo mengi ya kumsaidia rafiki yako akishindwa kuelewa hatua fulani. Kwa mfano, masharti na leseni ya eneo uliko yanapatikanahapa.

Kutuma kwenye mitandao ya kijamii

Mtandao wa kijamii ni njia bora ya kuwaambia marafiki na watu unaojua kuwa wangependa kuendesha magari kwenye Uber. Unaweza kufikia mtandao wako wote kwa haraka. Ili kuifanya hivyo katika App, nenda kwenye Mapato, kisha Alika na upate pesa, na ubonyeze Pata maelezo zaidi. Bonyeza Tuma mialiko na uchague aikoni za Facebook au Twitter.

Maswali yanayoulizwa sana

  • Referral rewards vary by city. You can look up the reward offered in your city in your app.

  • Ndiyo, unaweza. Mradi mtu unayemwalika ajisajili kuendesha gari katika nchi uliko na akamilishe idadi ya safari zinazotakikana katika kipindi kinachoruhusiwa, utapata zawadi ya kumwalika dereva katika mji huo.

    Masharti ya mialiko yanatofautiana kulingana na mji, kwa hivyo mtu unayemwalika akijisajili na kukamilisha safari zinazohitajika katika mji tofauti na kutimiza masharti yote ya ofa ya mwaliko, utapokea motisha ya mwaliko kutoka mji alikojisajili kuendesha gari, badala ya mji unakoendesha gari.

  • Nenda kwenye dashibodi ya mshirika ili utume kiungo cha mwaliko wa kujisajili katika mtandao wa kijamii au utume mialiko kwenye anwani ya barua pepe au namba yoyote ya simu. Hakikisha kuwa rafiki yako amekuruhusu kufanya hivyo.

  • Unaweza kufuatilia hatua ya rafiki yako pindi anapojisajili.

  • Uber has many resources if they get stuck. For help with local requirements and licenses, go here. For an overview of the app, go here. You can also refer them to a Greenlight Hub.

Endesha gari kupitia App

Taarifa inayopatikana kwenye ukurasa huu wa tovuti ni kwa madhumuni ya kutoa taarifa pekee na huenda isitumike katika nchi, eneo au miji ulipo. Inaweza kubadilika na huenda tukaibadilisha bila kukuarifu.