Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Utaratibu wa malipo

Mapato yako huwekwa moja kwa moja katika akaunti yako unapoendesha gari ukitumia Uber, kwa hivyo usijali kuhusu hati. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuweka akaunti ya benki na kutoa pesa.

Jinsi ya kuanzisha uhamishaji wa pesa kwenye benki

1. Tumia App au uingie mtandaoni

Ili uweke akaunti yako ya benki kwenye App ya Uber Driver, nenda kwenye Malipo kwenye menyu ya App. Vinginevyo, tembelea driver.uber.com, ingia na uende kwenye kichupo cha Benki katika dashibodi yako.

2. Weka maelezo ya akaunti yako ya benki

Jaza maelezo ya benki, anwani kamili na tarehe ya kuzaliwa jinsi zinavyoonekana kwenye taarifa ya hivi majuzi ya benki. Ikiwa maelezo yoyote si sahihi, huenda uhamishaji wa pesa ukacheleweshwa.

3. Umeshindwa kupata maelezo ya akaunti ya benki?

Unaweza kupata maelezo ya benki yako kwenye taarifa yako ya benki. Wasiliana na benki yako ikiwa una maswali yoyote.

Endesha gari kupitia App

Taarifa inayopatikana kwenye ukurasa huu wa tovuti ni kwa madhumuni ya kutoa taarifa pekee na huenda isitumike katika nchi, eneo au miji ulipo. Inaweza kubadilika na huenda tukaibadilisha bila kukuarifu.